Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Sasa hivi kinachofichwa ni dhulma na dunia imebadilika ila wakati ule watu walijua maadili ya kazi zao sasa hivi watu wanatetea matumbo yao haki hakuna anayehitaji ionekane ila wachache sana.Cha ajabu Gazeti la Uhuru lilikuwa linaripoti kila kitu kilichojiri mahakamani. Gazeti lilikuwa linagombewa na kuisha kabla ya saa nne asubuhi, Leo hii mhh!