Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anatumia [emoji527] kufikiri
 
So far nimetoa point zangu tatu za utetezi ugenini kwa leo.
 
Shahidi wa pili kaflow vizuri
Ooooh Shahidi wa Pili ndiye ameharibu kabisa!Inaonekana hujui Shahidi wakwanza ,wa Pili na watatu!

Shahidi wa Pili kila kitu hajui /hafahamu
 
Ooooh Shahidi wa Pili ndiye ameharibu kabisa!Inaonekana hujui Shahidi wakwanza ,wa Pili na watatu!

Shahidi wa Pili kila kitu hajui /hafahamu
Kwa mwendelezo wa leo huyu wa pili hata kama ametunga ila anacheza ndani ya kuaminika
 
Kesi gani kibatara aliwahi kushinda

USSR
Mkuu unataka league na mimi? Hutaniweza na muda wa kuanza kukupa CV ya KIBATALA sina. And huwa sipendi ubishani hasa kwa watu wenye kutanguliza ushabiki.

Nadhani umenielewa.
 
Wewe jamaa huwa na kwambia unatafuta laana ,utalaaniwe wewe na kizazi chako acha kazi za uwakala wa shetani.Onana sasa CCM wote Kwenye Huu Uzi wamekimbia umebaki pekee yako unaongea kama kichaa
Tupo wengi sana. Tuna watu.
 
Mko wachache sana hamfiki hata watano ,Zamani mlikiwa mnashambulia vizuri !Nimesoma page ya Kwanza mpaka ya mwisho ninaona USSR mama D iboya 2021.

Bora umejitokeza usinyimwe 7000/-watoto wakalala njaa .Ajira ngumu Endeleeni
Mliwahi kushinda kesi gani nyie vilaza wa ufipa

USSR
 
Mko wachache sana hamfiki hata watano ,Zamani mlikiwa mnashambulia vizuri !Nimesoma page ya Kwanza mpaka ya mwisho ninaona USSR mama D iboya 2021.

Bora umejitokeza usinyimwe 7000/-watoto wakalala njaa .Ajira ngumu Endeleeni
Hoja za sisizo na mashiko za mawakili wa PGO wa Chadema tunazipotezea. Tutamsubiri Mbowe gereza la ISANGA, Dodoma kesi ikiisha.
 
LISSU: Hofu kama ya Mungu, au ya shetani au ya Dikteta, inazuiliwa kisheria?

SHAHIDI: Ndio inazuiliwa,

LISSU: Sheria gani?

SHAHIDI: SIJUI.

2017
 
SSR alikuwa bado mdogo wakati kibatala anashinda kesi.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
LISSU: Hofu kama ya Mungu, au ya shetani au ya Dikteta, inazuiliwa kisheria?

SHAHIDI: Ndio inazuiliwa,

LISSU: Sheria gani?

SHAHIDI: SIJUI.

2017
hahahaaa Moja kati ya kesi za kubumba walizombambikia Tundu Lissu
Ule mwaka aliwatoa jasho kesi ikaenda mbaka Night
Judge akazitupilia Huko baada ya Mwamba kupangua zaidi ya mashtaka 50
Ikiwemo uchochezi & co
Wakamshindwa jiwe akatuma vikaragosi wampige risasi pale Area Gani vile Dodoma
😁😁😁😁
 
Area D
 
Lissu alishindikana kwa kila njia. Hata kwa Risasi. Mwisho wa siku muuaji kafa yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…