Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Nilwaambia ili mtafute alrternative hamkusikia.


 

Mimi binafsi siujui ukweli lakini naamini ukweli utajulikana tuu. Unapotokwa povu hapa huku Mbowe akiwa bado kashikiliwa hutatui tatizo zaidi unaweza kujitengenezea tatizo binafsi la kupata magonjwa yasiyoambukiza


Tunaambiwa tuwe na subra kwani.... "Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."

Mhubiri 7: 8 - 9​

 
Kenya kesi za namna hii zinarushwa mubashara kwenye vituo vya televisheni, kwahiyo kwa hoja yako vyombo vya habari vinaingilia mahakama sio?

Uzuri tupo mwaka 2021, wasomi kila kona kwahiyo tunajuwa kutambua kweli na uongo, Jaji akileta upuuzi atayakoga
 
sema twitter na instagram wametupiga bao kwenye updates sisi wana jf lialia
 
Dadeki watajuta kujifanya wanaharakati wa mahakama

USSR
Hakuna mwanaharakati wa mahakama ila sheria ndio muhimu kufuatwa. Nikuulize jee kuingia mahakamani nikosa. Policcm wanaposema ni maelekezo kutoka juu maanaa yake nini?

Muwajinga sana hamjitambui na hicho mnachokisimamia kama dola hamkijui ndio maana mnapinga watu wasirushe taarifa kwasababu mnajua mtadhalilika sana.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…