Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Jiwe alikua muoga Kama demu Aisee Hadi alikua anatia huruma jamaa Ile 2020 Kwenye kampeni jamaa alikua anaweweseka Kwa spana naona hata kifo chake frustration zinachangia,presha ikapanda moyo ukapata shock!Lissu alishindikana kwa kila njia. Hata kwa Risasi. Mwisho wa siku muuaji kafa yeye
Mambo mengine ni kama Karma!