Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea
Michezo ya mbowe na ccm hii kesi itaisha uchaguzi ukikaribia
 
Uzuzu unakusumbua mkuu, wewe unaona ni halali kwa president kumteua mtu kuwa Judge?au CJ?,why hawa wasiombe na kufanyiwa interview?,na kiapo Chao kiwe kwa CJ sio president, ila sikushangai maana ni zao la shule za kayumba ,yule aliyezianzisha hata mjukuu wake hajasoma huko

Hata Marekani majaji huyeuliwa na rais sasa ni kipi kinakubana mavi mpaka unataka kuharisha hadharani?
 
Michezo ya mbowe na ccm hii kesi itaisha uchaguzi ukikaribia
Ndo basi tena. Na sasa hivi watu tuko busy na bandari tu.
Hatutaki kusikia cha covid 19 wala tume huru wala katiba katiba mpya. Sasa hv issue ni bandari tu
 
Ndo basi tena. Na sasa hivi watu tuko busy na bandari tu.
Hatutaki kusikia cha covid 19 wala tume huru wala katiba katiba mpya. Sasa hv issue ni bandari tu
COVID washapeta mbowe ashalamba mgao wake
 
Duuuh hii kesi imekuwa series kama isidingo itaisha 2025
 
Back
Top Bottom