Ni kawe ya wapi hiyo unayoiongelea wewe? Maana nami ni wa jimbo la kawe.Mimi ni mwana Kawe na miaka yote. Najua kila joto lililopo huku. This time Halima hatoboi! It's sad lakini jiandae kisaikolojia
Usiamini wanasiasa. Hata Museven na Kagame waliwahi tangaza mara kibao kuwa ni misimu yao mwisho.Bashiru si alishatangaza waziwazi zaidi ya mara 5 kuwa hilo halipo? Magufuli nae akatangaza zaidi ya mara 10 kuwa hilo halipo? Gwajima yeye ni nani hadi aendelee ku push hili wazo?
Kigezo?Hapa tuseme ukweli. Halima hatoboi hata chembe mbele ya Gwajima.
Kuna sehemu nimetoa mawazo hasi!??Malezi mazuri, jifunze kitu hapo badala ya kuwa mawazo hasi, ...
Yesu wake kamtema ?.Lugola out- Mwibara
Hajafanya lolote la maana Kawe. Na Gwajima ndo atajustfy hayo .Wanakawe watasema twende na Gwajima. Binafsi mimi nitampigia kura Gwajima.Kigezo?
Kifo cha mendeBashitee vipi uko
kwaiyo mtu akisema tu basi ni mpinzaniWapinzani wamepunguziwa cha kusema:
Makonda - mtoto anayependwa nje!
Kawe - Yule aliyeshinda kura za maoni mliyesema ana undugu na mkuu nje naye!!
Mwana FA...Nani?