Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Ni kawe ya wapi hiyo unayoiongelea wewe? Maana nami ni wa jimbo la kawe.Mimi ni mwana Kawe na miaka yote. Najua kila joto lililopo huku. This time Halima hatoboi! It's sad lakini jiandae kisaikolojia
Kwa uhakika Gwajima hapiti. Atashindwa vibaya kama alivyoshindwa kwenye kura za maoni.
Sent using Jamii Forums mobile app