Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Wapinzani wamepunguziwa cha kusema:
Makonda - mtoto anayependwa nje!
Kawe - Yule aliyeshinda kura za maoni mliyesema ana undugu na mkuu nje naye!!
kwaiyo mtu akisema tu basi ni mpinzani
 
Nasikiliza hapa hawa jamaa wanatangaza majina ya waliopitishwa kugombea nafasi za ubunge.

Hivi mwanamke huwa anatumia prefix ya Ndugu au bibi?!

Si huwa tunatumia, kwa mfano, Ndugu Abubakari sadiki, Bibi Mariam sulemani,
 
Sijaona kipya tofauti na miaka ya nyuma ingawa walijisifia Sana lakini uteuzi umekuwa wa ovyo sana
 
Back
Top Bottom