Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Maselle muhongaji sana yule. Ila Katambi nae atapata tabu sana kutoboa mbele ya Chadema. Shy town Chadema wapo vizuri.
CCM hawashindwi kuiba hapo Shytown,tangu DED alipomtangaza Masele badala ya marehemu Sherembi aliyeshinda mwaka 2010 na kisha huyo DED akakimbia kituo cha kazi na baadae usikia kuwa amepata uhamisho mimi naona CCM hawashindwi kitu hapo Shy,labda ingekuwa Arusha
 
Hizi haraka za nini?
Nipo seat No.8 nawatazama nasubiria majina. Jimbo maarufu linalo subiriwa na wengi ni Kigamboni au sio taifa
Vv
 
Nikweli kabisa, lakini mimi sintomchagua Gwajima sio sababu ya dini yake lkn nikulingana na udini wake.
 
Halima Mdee Kawe hawamtaki kabisa, na kilichomponza ni kwamba hajihusishi na Jimbo kabisa, yeye kila siku Mahakamani, kukimbizana na Askari wetu na kulia lia hovyo , yoyote yule atambwaga Halima Mdee, ...
Waislam hatuwezi mchagua gwajima aliyetutukana waziwazi
 
Awe ana wahubiria au? Make Wabongo mfano wanazani Kule Vunjo Kimei atahamisha Pesa za CRDB apeleke kule, haya ni mawazo ya kipuuzi,
May be anaweza akapunguza gharama za kampeni kwa kutumia pesa zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…