Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM hawashindwi kuiba hapo Shytown,tangu DED alipomtangaza Masele badala ya marehemu Sherembi aliyeshinda mwaka 2010 na kisha huyo DED akakimbia kituo cha kazi na baadae usikia kuwa amepata uhamisho mimi naona CCM hawashindwi kitu hapo Shy,labda ingekuwa ArushaMaselle muhongaji sana yule. Ila Katambi nae atapata tabu sana kutoboa mbele ya Chadema. Shy town Chadema wapo vizuri.
Hizi haraka za nini?
Nipo seat No.8 nawatazama nasubiria majina. Jimbo maarufu linalo subiriwa na wengi ni Kigamboni au sio taifa
VvBaada ya kikao cha halmashauri kuu kuketi asubuhi, Katibu mkuu mwenezi wa CCM anaongelea yaliyojiri.
=======
Polepole: Vikao vyote cha jana na leo vilikuwa chini ya mwenyekiti wa CCM. Kikao cha halmashauri kuu kilikuwa na lengo moja na limekamilika. Lengo lilikuwa kufanya uteuzi wa mwisho kwa wagomea wa majombi na viti maalum. Napenda kuleta taarifa hiyo kwenu kwa maana hawa walioteuliwa leo kwa majimbo na viti maalum.
Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, chama chetu kimeandika rekodi na historia ya kukubalika. Upande wa uwakilishi leo haukufanyika uteuzi kwa sababu ya muingiliano wa ratiba ya NEC. Wagombea 33,094 waliomba kukiwakilisha chama cha mapinduzi kwenye udiwani ilhali nafasi zipo kama elfu nne na kitu na kufanya jumla ya watu 43,461 waliiomba kukiwakilisha chama cha mapinduzi kwenye nafasi mbalimbali.
Wajumbe wa halmashauri kuu wametimiza wajibu wao na kikao kimeeleza wajibu wao wa kusimamia serikali mpaka tumefika hapa, uamuzi walioufanya leo umezingatia watu wabobevu kusimamia maslahi ya watu wetu watakaofanya kazi sambamba na serikali ya chama cha Mapinduzi ambayo tunaenda kuiombea kura.
Kwa kauli moja wajumbe wamefanya uteuzi baada ya kupokea majina kwa watakaokuwa wagombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge. Vilikuwepo vingezo na sifa ambazo tumezitumia ikiwemo wanaCCM wanaojitoa kwa chama, tumetafuta yule ambae atatuleta pamoja, wenye mahusiano mazuri na wananchi na wanakubalika na jamii.
Watu ambao wameteuliwa leo wanatakiwa wanatakiwa wafanye maandalizi ya msingi.
Kwenye majimbo wanaCCM ni nidhamu tuendelee kuwa watulivu, wagombea ni wengi hatuwezi kupata wote lakini nawahakikishia kwamba, chama chetu ni kikubwa na fursa zake ni nyingi tuendelee kuwa wanyenyekevu na watulivu, chama kina taarifa zenu.
ARUSHA
Arusha mijini- Mrisho Mashaka Gambo
Arumeru Magharibi- Noah Lebrus Molel
Arumeru Mashariki- John Palangyo
Karatu- Daniel Tlemai
Longido- Stephen Kirusya
Monduli- Fred Lowassa
Ngorongoro- Ole Nasha
DAR
Ubungo- Prof Kitila Kitila
Kibamba- Issa Jumanne Mtemvu
Kinondoni- Abass Tarimba
Kawe- Askofu Josephat Gwajima
Kigamboni- Dr. Faustine Ndugulile
Ilala- Mussa Zungu
Segerea- Bonna Kamoli
Ukonga- Jerry Slaa
Temeke- Doroth Kilave
Mbagala- Abdallah Chaurembo
DODOMA
Bahi- Keneth Nolo
Chamwino- Deo Dejembi
Mvumi- Livingstone Lusinde
Chemba- Mohammed Moni
Dodoma Mjini- Anthony Mavunde
Kongwa- Job Ndugai
Kondoa mji- Ally Juma Makoa
Kondoa Vijijini- Dr. Ashatu Kijaji
Kibakwe- George Simbachawene
Mpwapwa- George Nataly Malima
GEITA
Busanda- Tumaini Magesa
Geita Mjini- Consatantine Kanyasu
Geita vijijini- Joseph Kasheku(Musukuma)
Bukombe- Dotto Bisheko
Chato- Medard Kalemani
Mbogwe- Nicodemas Maganga
Nyang'alwe- Hussein Amar
IRINGA
Iringa Mjini- Jesca Msavatambangu
Kalenga- Jackson Kiswaga
Isimani- William Lukuvi
Kilolo- Lazaro Nyamoga
Mafinga mji- Cosato Chumi
Mufindi Kaskazini- Exaud Kigahe
Mufindi Kusini- David Kihenzile
KAGERA
Bukoba mjini- Stephen Byabato
Bukoba vijijini- Jackson Rweikiza
Nkenge- Frolent Kyombo
Karagwe- Innocent Bashungwa
Kyerwa- Innocent Bilakwate
Ngara- Ndaisaba Luhoro
Bihalamuro- Ezra Chiwelesa
Muleba Kaskazini- Charls Mwijage
Muleba Kusini- Oscar Kikoyo
KATAVI
Mlele- Isack Kamwele
Kavuu- Geophrei Mizengo Pinda
Mpanda Mjini- Sebastian Kapufi
Nsimbo- Anna Lupembe
Mpanda Vijijini- Moshi Kakoso
KIGOMA
Ngw'adela mayu.Wote: Ng'wadila?
Nikweli kabisa, lakini mimi sintomchagua Gwajima sio sababu ya dini yake lkn nikulingana na udini wake.Sio tu suala la dini. Gwajima Kawe hakubaliki, Kawe ni jimbo la wasomi na watu wenye uwezo kifedha, uchafu wa Gwajima kuanzia kimaadili mf video zake za ngono na ule upotoshaji wake mf suala la corona sijui amphiphilo labda angegombania majimbo ya watu wengi wasio la elimu pamoja na uwezo. Sio Jimbo la Kawe!!
Waislam hatuwezi mchagua gwajima aliyetutukana waziwaziHalima Mdee Kawe hawamtaki kabisa, na kilichomponza ni kwamba hajihusishi na Jimbo kabisa, yeye kila siku Mahakamani, kukimbizana na Askari wetu na kulia lia hovyo , yoyote yule atambwaga Halima Mdee, ...
KapitaJamani,Kunambi vipi kapata ama ?
AlikibaChunya nan jaman
May be anaweza akapunguza gharama za kampeni kwa kutumia pesa zakeAwe ana wahubiria au? Make Wabongo mfano wanazani Kule Vunjo Kimei atahamisha Pesa za CRDB apeleke kule, haya ni mawazo ya kipuuzi,
Apana.Kavuu- Geophrei Mizengo Pinda ni mtoto wa aliyekuwa PM?
Nilisema humu Kimei lazima apite
KapitaKafulila vipi?
Huyo Jane hajui loloteApana.
Yote tisa, kutoonekana kwa Makonda ni ushindi mkubwa kwetuApana.