Swali: Ufafanuzi juu ya ulimwengu alivyosema tusifanye katiba iende haraka........... Kutoka kwenye uchaguzi uliopita tume ilikuwa na matatizo hivyo inabidi katiba iende haraka ila ifanyike kwa umakini.
Tundu Lissu.....kashangiliwa kweli!!!!
Watoa mada wamezungumza masaa mawili na nusu, anaomba muda wa uchangiaji uongezwe!!!
anatofautiana na Shivji, tunahitaji katiba mpya ili kubadili utaratibu uliotufikisha hapa ambao umetufikisha pabaya.
Nchi hii haiwezi kutawalika tena kwa katiba hii.......rais mfalme, chama kimoja, muungano wa serikali mbili.
1.Rais mfalme
2.mfumo wa chama kimoja
3.muungano wa Tanzania.
Mifumo hiyo hapo juu imeparanganyika hivyo haiwezi kutupeleka popote-TUNDU LISU ANAPINGANA NA MWALIMU WAKE