Pole huyo jirani hana jenereta?????jirani nae amekatiwa umeme sijui sasa niende wapi
Katiba hii haina uhalali......................Lipumba.
Du...wangempa nyingi huyu watu wangeweza kuingia barabarani fasta!...ni mhamasishaji wa aina yake!Mkinga huyu mzee mtata kapewa dakika tatu!!!
tumeniuhondo jamani tunawapata saana tuu!Mkinga anaingia
Kwani Katavi ndiyo kasema yeye karipoti tu aliyesema ni Lipumba labda umtafute akufafanulie.So viongozi wanaapa kwa katiba isiyo halali??? em nieleweshe Katavi........
NAUNGA MKONO HOJA HUYU NGEREJA KATULETEA ADHA YA UMEME namchukia huyu.ITV tunaomba kipindi kirudiwe ucku
Ndio maana yake...........................ina mapungufu mengi!!!So viongozi wanaapa kwa katiba isiyo halali??? em nieleweshe Katavi........
Nilijua tuu hata jana kumuua kishenzi lowasa!Mungu wangu! Duh kamkaanga Lowassa live!