johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote.
Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini.
Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa.
Updates:
Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli hii na sasa anamwita askofu Shayo kutoka Zanxibar kutoa sala au dua la ufunguzi.
Sasa unapigwa mwimbo wa taifa.
Askofu Malasusa anamuelezea Rais Samia kusudio la kongamano hilo kwamba ni kumshukuru Mungu kwa maisha ya hayati Magufuli kadhalika kuwabariki viongozi wapya Rais Samia na Rais Mwinyi wa Zanzibar.
Mtoa mada wa kwanza ni askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo ambaye tayari yuko jukwaani.