johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wala Fredrick Shoo au Ruwaichi hawawezi kukanyaga hapoHakuna kiongozi wa dini, ni wajasilia dini. Huyo anayejiita kongozi wa dini akienda pale ujue ni mjasilia ini. Unadhani bagonza/ Mwamasika atakwenda pale? Labda Sheikh Ubwabwa wa Dar maana ndiyo zake.
wakija nao watakuwa matakata na wajasiliadini.............they will never comeWala Fredrick Shoo au Ruwaichi hawawezi kukanyaga hapo
Kama unaumwa nenda Tanganyika packers kwa Mwamposya!Maisha ya Magufuli ndio wanaandaa kongamano? Bora wangeitisha kongamano la kuombea wagonjwa.
Dr Shoo na Dr Malasusa wapo!Wala Fredrick Shoo au Ruwaichi hawawezi kukanyaga hapo
Umechelewa kuwapa ushauri!wakija nao watakuwa matakata na wajasiliadini.............they will never come
Yani wale walamba viatu wa dini wameanza kujipenyeza. Haya banahUkumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote.
Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini.
Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa.
Updates:
Kama unaumwa nenda Tanganyika packers kwa Mwamposya!
Na tapeli Pastor Erasto yupoUkumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote.
Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini.
Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa.
Updates:
Wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa!Wanapoteza muda tu na ndio maana nika suggest huo mda wangeutumia kuombea wagonjwa ingeleta tija bwashee.
Mchungaji Erasto yupo hapa Dodoma bwashee!Na tapeli Pastor Erasto yupo
Achana na huyo Bavicha mkuu!Dr Shoo na Dr Malasusa wapo!
Wote wapo hadi wale baniani!Wakikosekana wawakilishi na watoa mada kutoka TEC, CCT, & CPCT hilo kongamano feki.