Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

Vipi wasiyokuwa na dini ruksa hapo

Ova
 
Wale viongozi wa dini walioishi kwa kujipendekeza kuimba kwaya Ili wapate mkate sijui Wana hali gani sasa hivi.
 
Wanataka kutengeneza mazingira ya kujikomba kwa mama
 
Bila shaka unafiq ndio unaojiri huko.
 
Nadhani huyu Askofu wa Pentecoste ni mjinga na mwanasiasa mtarajiwa.Peter Konki Huyu ni Gwajima mwingine mtarajiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…