johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nje ya topic kidogo; naomba kuuliza, hivi dada Fatuma Karume kaolewa? I mean is she Mrs. somebody au bado yupo single? Nimeanza kumuelewa elewa hivi.
Mkuu, heshima kwako; vipi unapigaga friend match tu au unamaliki mazima? Wanaume kusaidiana kakaMkuu tuheshimiane, huyo ni shemeji yako. Watu tumewekeza hapo.
Mitukano ya wanogeshaji inaendelea.
Maono ya baada ya bangi asubuhiMkuu tuheshimiane, huyo ni shemeji yako. Watu tumewekeza hapo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu, heshima kwako; vipi unapigaga friend match tu au unamaliki mazima? Wanaume kusaidiana kaka
Mkuu, heshima kwako; vipi unapigaga friend match tu au unamaliki mazima? Wanaume kusaidiana kaka
Maono ya baada ya bangi asubuhi
Wanaume kusaidiana kaka, achana nae cause walau una kitu kingine home, huyu dada hatakiwi kulala peke yake bhana, NIACHIE pleaseNina wife wangu, ila kwa sasa nimehamishia nguvu kwake.
Sasa ule muungano wa hiyari umeshafanikiwaNaona Tundu Lissu kaingia pale kwenye mkutano wa ACT kama mgeni rasmi
Wanaume kusaidiana kaka, achana nae cause walau una kitu kingine home, huyu dada hatakiwi kulala peke yake bhana, NIACHIE please
ACT ni chama cha kidini?