Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

Nikadhani ni hii TV yangu ina shida aisee huyu Tundu Lissu atanyofoa roho ya mtu aisee ha ha ha

Wale mliokuwa mnauliza kwanini Mlimani City haikuwa live mje muone shuhuda hapa
 
Kama mmewalipa ITV kurusha mkutano wenu mmelizwa. Hotuba za baadhi ya wachangiaji wanazikata sauti makusudi
 

Yaani mwaka huu ni wa vyama mbadala kuingia ikulu.
Kwasababu huko kwa chama tawala washavurugana.
ACT itumie akili kumpitisha Lisu.
Yaani hapo itakuwa speed kubwa yaani mambo yatakuwa bambam

Hapa zitto
Hapa shangazi
Hapa lisu
Hapa membe
Hapa mbowe
Hapa nyarandu

Alafu nyuma ya pazia wapo hawa
Nape
Makamba janauary
Kinana
Ngereja
Lazima moto uwake kabisa
 

Haponi mtu mwaka huu lazima akumbwe na kimbunga.
 
Mkuu tuwekee FULL SPEECH ya Mh Lissu. ITV wameondoa sauti na wamekatiza kabisa
 
Mimi nilikuwa nasikiliza RADIO ONE matangazo ya mkutano mkuu wa ACT, lakini ghafla ya kukaribishwa kwa Tundu Lissu matangazo yamekatwa, wameweka matangazo ya vifo!!

Hii imekaaje?
 
ITV wamekata sauti speech ya Lisu!

5 Aug 2020
Tundu Lissu - "Maalim Seif ni Taasisi Lazima tutambue"
Tundu Lissu afunguka kuhusu Maalim Seif Sharif Hamad, asema anastahili kupewa shikamoo, amepikwa,amepikika hivyo lazima tutambue mchango wake katika historia ya Zanzibar na Tanzania


Source : mwananchi digital
 
Tundu Antipas Lissu kauteka umma wa wajumbe wa Act wazalendo kwa kuwa msemaji mkuu wa mkutano huo badala ya kutoa salam za chama chake.
 
Mimi nilikuwa nasikiliza RADIO ONE matangazo ya mkutano mkuu wa ACT, lakini ghafla ya kukaribishwa kwa Tundu Lissu matangazo yamekatwa, wameweka matangazo ya vifo!!

Hii imekaaje?

Wanaogopa kwasababu kituo chaweza zimishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…