Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

Ha ha ha , lisu kamnadi maalim sefu.

Jamaa anajua kujisahaulisha na kujibaraguza linapokuha suala ka kutengeneza mazingira. Kasahau walivyomfanya Zitto cdm wakati wa mkakati MM. Leo hii yuko ndani ya kilinge cha Zitto kwa kujinafasi.
 
"Mimi ni muumini wa demokrasia. Sitaki kutawaliwa, nataka kuongozwa. Nataka haki zangu kuheshimiwa. Tena nasema hayo kwa jeuri, sababu mimi si mwananchi wa Kifalme, mimi ni mwananchi wa Jamhuri."

@fatma_karume
Mwanasheria
IMG_20200805_132734.jpg
 
Back
Top Bottom