Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

Yani ulitakiwa CHADEMA iwe n a Tv yake paamoja na Redio miaka mingi sana
 
Ha ha ha , lisu kamnadi maalim sefu.

Jamaa anajua kujisahaulisha na kujibaraguza linapokuha suala ka kutengeneza mazingira. Kasahau walivyomfanya Zitto cdm wakati wa mkakati MM. Leo hii yuko ndani ya kilinge cha Zitto kwa kujinafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…