Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa katika uchaguzi wa mwaka huu 2020 anatarajia kuwa upinzani utachukua dola na Tanzania itakuwa mpya.

Source : MwanaHALISI TV
 
Kitendo cha kukata hotuba ya Lissu ndo kitafanya tuitafute kwa njia mbadala na kuisoma...

Hata kama nilikuwa sina mpango wa kuisoma speech nitaisoma...kitendo cha kuibania kutafanya watu wawe na hamu ya kujua nini kilichomo kwa speech hiyo.....

Na nyie vyombo vya habari....tambueni kuwa mnahudumia watanzania wa vyama vyote na wengine wana fikra huru( wasio na chama).....

Wekeni speech sisi tutachambia pumba na mchele...
 
Ukitaka kujua mioyo ya hawa watu waulize wapo tayari kuunganisha vyama vyao,,😎
 
 
ukitaka kujua mioyo ya hawa watu waulize wapo tayari kuunganisha vyama vyao,,😎

..Mzee Mrema na chama chake wamempitisha Magufuli wa CCM kugombea Uraisi.

..tena walimpitisha hata kabla CCM wenyewe kumpitisha kama mgombea wao.

..in exchange Mrema na TLP wameomba CCM wawasaidie ktk kupata baadhi ya majimbo ya ubunge.

..CCM wamekataa ombi la Mzee Mrema na TLP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…