matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
ccm waache roho mbaya wamuacvhie angalau kidogo mzee Seif mwaka huu. Amesota sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SwadaktaHata muandishi wa hotuba hawezi kuandaa hili.
Kauli kama hizi hutokea bila kupanga.
Umahiri na kipaji cha mzunguzaji humuelekeza hadhira yake inataka nini wakati huo.
Mkuu wengine wawezayo ni kutembea na muuza mahindi toka Dar na Hindi lake hadi Dumila ili amuuzie mzee watu waseme anapenda kujichanganya...hata muandishi wa hotuba hawezi kuandaa hili.
..kauli kama hizi hutokea bila kupanga.
..umahiri na kipaji cha mzunguzaji humuelekeza hadhira yake inataka nini wakati huo.
Tulichelewa sana kumpata Rais Kama Lissu.Lissu, Zitto kwa asili wana uwezo mkubwa kichwani. Wanaongea kwa ufasaha na kueleweka. Wengine wanafokafoka tu utaskia Jogoo oye, mkanye kwa DC. Dah kweli tumepatikana
Haaha mzee wewe kiboko. Lazima watu waulizane.Mkuu wengine wawezayo ni kutembea na muuza mahindi toka Dar na Hindi lake hadi Dumila ili amuuzie mzee watu waseme anapenda kujichanganya.
Anashindwa kuelewa akishapita watu wanaulizana yule kijana anachomea wapi hayo mahindi?
Ujinga mkuu
Aibu kubwa sana !Mkuu wengine wawezayo ni kutembea na muuza mahindi toka Dar na Hindi lake hadi Dumila ili amuuzie mzee watu waseme anapenda kujichanganya.
Anashindwa kuelewa akishapita watu wanaulizana yule kijana anachomea wapi hayo mahindi?
Ujinga mkuu
Ndio kishafika tena mkuu.Tulichelewa sana kumpata Rais Kama Lissu.
Umeua mkuu.ThanteeMkuu wengine wawezayo ni kutembea na muuza mahindi toka Dar na Hindi lake hadi Dumila ili amuuzie mzee watu waseme anapenda kujichanganya.
Anashindwa kuelewa akishapita watu wanaulizana yule kijana anachomea wapi hayo mahindi?
Ujinga mkuu