Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

Muda huu tupo Sumve na baada ya hapa tutakuwa Nyamagana


Aliyekuwa mbunge wa jimbo hili ni marehemu Richard Ndassa wa CCM ambaye alifariki ghafla akiwa hotelini kwake Dodoma kipindi cha COVID 19
 
Sumve
 
Chama cha siasa ni mabarabarani na Majukwaani - JK NYERERE
 
Kwani uongo tuadsubiri picha zenye Giza za mikutano ya lisu mtuletee jioni
Rais @tundualissu asiye na makuu, Rais @tundualissu mfariji wa wote, Rais @tundu ( 526 X 640 ).jpg
 
acheni afanye tour maana baada ya tarehe 28 itabidi aikimbie tena nchi arudi uberigiji maana kwa martusi hayo anayotukana sijui kama atakaa jpm akiapishwa
 
Si ana mdahalo wa kimataifa leo ataenda saa ngapi? Au utafanyika usiku?
 
Tulikuwa naye Hungumalwa muda si mrefu. Ukilinganisha kampeni za hawa wawili Tundu Lisu ni very humble kwa wananchi.

Upande wa pili naona ubabe na vitisho tu.
 
Back
Top Bottom