Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

Kwenye football wenyewe wanasema point 6 yaan unashinda nyumbani na ugenini sasa jamaa anatuchanganya hatujui wapi ugenini wapi nyumbani
 
Upinzani ulisha kufa tangu 2015, kilichobaki ni futuhi.
Dah 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hapo na wewe unawadogozako eti unaweza kuwashauri🀭🀭
 
Mkuu hoja yako ni ipi , Magufuli alipokuwa mwanza shule zilifungwa unataka na sisi tufanye hivyo ?
Sio shule tu, na ofisi za serikali na mashirika zinafungwa na wafanyakazi kutakiwa kuhudhuria na roll call kuchukuliwa, malori yote mkoani yanatakiwa kipiga ripoti katika ofisi za CCM wilaya, na udikteta wa aina zote hizo. Hiyo ni juu ya kufungia vyama vya upinzani kufanya mikutano kwa kipindi cha miaka mitano ya Magufuli. Na baada ya miaka mitanao hawaamini kama wananchi wanamjua - kwa hivyo wametandaza mabango ya mgombea hadi vyooni.
 
Wekeni na ile video inayoonyesha akizomewa leo huko Mwanza.
 
Hizi picha za askari wakiwa makini kabisa kutekeleza majukumu yao ikiwemo kuhakikisha Mgombea Lissu ananadi Sera zake kwa amani na usalama, zitakuja kumsuta Lissu na wapambe wake hapo baadae.
 
Alisema 2020 upinzani kwishney kumbe kuwabana wapinzani ndio kuchochea moto uwake zaidi mimi naamini huko aliko haamini macho yake kama ndio yule aliyeonja mauti kafufuka na kumpeleka mbio hivi mzee baba teh teh teh teh
 
Lissu ni mteule.
 
Kuna watu mazuzu hii dunia, eti wanaamini Lisu atashinda mbele maguri.
 
Yaani umekaririshwa picha hadi kila kitu ni picha. Lini angalau utatumia hizo kamasi zako? Endeleeni kufurahisha genge tu.
 
Nimecheka hadi gari imezima ! , nimeachia krachi ghafla sana πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
acheni afanye tour maana baada ya tarehe 28 itabidi aikimbie tena nchi arudi uberigiji maana kwa martusi hayo anayotukana sijui kama atakaa jpm akiapishwa
Kimsingi hajatukana tusi lolote tuwe wakweli kutokea ndani ya nafsi zetu
 
Mungu azidi kutufungua ufahamu watanzania ili 28 october tukaandike historia
 
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu anasema iwapo atashinda basi serikali yake haitawatambua wale walioingia bungeni kupitia dirishani badala ya mlangoni.

Yaani wale wana wa Ngurumo yaani Mnyeti, Katambi na Kunambi au wana wa Zebedayo yaani January, Nape na Kigwangalla.

Je, huu si udikteta wa kuingilia mamlaka ya Tume Huru ya uchaguzi?

Nawatakia sabato yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…