Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha

Haya marangi ya nguo zao nikiyatizama huwa nasisimukwa mwili,nahisi damu damu hivi
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sana
 
Lakini mkuu hauoni kuna conflict of interests kucomment masuala ya siasa ilihali upo private sector hasa kitengo nyeti kma hiko tena kwa verified account?

Otherwise kutojibu mada kwa kisingizio cha professionalism ilihali mada zingine za kisiasa unashiriki ni contradiction? Unless unaogopa ukikosoa sera za kiuchumi uta compromise nafasi yako.

I guess using an anonymous ID is a better option in such circumstances.

Good suggestion on ID, but on political matters we are free only if that comment does not conflict overall with local political economy bridle.
 
Sherehe zimeanza mapemaaa

Binafsi nampa Lissu chance ya 70% kushinda uchaguzi huu. Hii ni kwa sababu kampeni yake imekuwa almost perfect. Ameepuka makosa yoyote makubwa ya kiufundi na amejua mbinu sahihi za kuyaongelea makundi mbalimbali ya wapiga kura.

Nimempa Magufuli 30% chance kwa sababu kwanza inabidi umpe heshima mpinzani wako na bado vile vile anashikilia mpini kwa hiyo hizo ni percentage za heshima kwa nafasi aliyo nayo sasa hivi. Ila uchaguzi huu anakwenda kushindwa!
 
Ndo maana wafuasi wote wa Chama cha MBOWE mliitwa Manyumbu mnaendelea kudhihilisha Unyumbu wenu humu!
 
Back
Top Bottom