Hapa ndo CCM mnaonekana hamnazo kabsa? Huu ujinga ungeenda kuusema hasa kwa wajinga wenzenu ili waendelee kua wajinga sio kuleta hapa jamii forum kwa watu welewa,View attachment 1604230
Maendeleo ya vitu sio kabisa makamanda. Maendeleo ya watu ndio kila kitu.
Hivi unafikiri hakini Lema wanasema kwa sababu yao au kwa sababu ya mamilioni ya watanzania ambao kodi zao zinaenda kununua Ndege ili akina Magufuli wapende wakati wao wanakosa hata maji tu, dawa hospital ndo usiseme