Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamasai sio wa kuchezea wakiamua wameamuaHahaha safi Sana ..hawa wamasai waombe mizimu ya kwao lissu ashinde .akishinda jiwe watafukuzwa wote katika ardhi yao wataambiwa kuwa waaishi ktk ardhi yenye hifadhi ya tiafa 😂 😂 ..jiwe kwa visasi tena
Hahaha Mimi nilikuwa naangalia live anyway mlisema watu sio kuraBomang’ombe
Hoja zako huwa ni nyepesi sana. I don't know whySikiliza bwana mdogo, maana ya neno inategemeana na context kuna nchi ukisema uhuru una maana kufunguliwa kwenye lockdown au kuruhusiwa ndoa ya jinsia moja kwa hiyo hakuna universal definition ya uhuru au maendeleo.
Sasa usianze kulazimisha maendeleo ni kma definition ya Lumumba kuwa ni SGR na miundombinu!! Mie nmejibu kwa context ya Lissu sasa kazi kwako kuonyesha udhaifu wa hiyo sera.
Ukishindwa basi tarehe 28 kura yako itupie kwa Lissu na utakua umefungua ukurasa mpya wa mabadiliko.
Hata Mimi mkuu! Najua picha yangu siyo nzuri sana, ni kosa simu yangu!Hahaha Mimi nilikuwa naangalia live anyway mlisema watu sio kura
Infrastructure will not be one of top priorities in such developing country like ours?Sikiliza bwana mdogo, maana ya neno inategemeana na context kuna nchi ukisema uhuru una maana kufunguliwa kwenye lockdown au kuruhusiwa ndoa ya jinsia moja kwa hiyo hakuna universal definition ya uhuru au maendeleo.
Sasa usianze kulazimisha maendeleo ni kma definition ya Lumumba kuwa ni SGR na miundombinu!! Mie nmejibu kwa context ya Lissu sasa kazi kwako kuonyesha udhaifu wa hiyo sera.
Ukishindwa basi tarehe 28 kura yako itupie kwa Lissu na utakua umefungua ukurasa mpya wa mabadiliko.
Nyepesi? msaidie kujibu kauliza sera za Lissu nmemuwekea kakimbia.Hoja zako huwa ni nyepesi sana. I don't know why
Infrastructure dev't is paramount but balancing is of utmost importance. One of the major problems in Tz is credit creation due to low spillover effects as a result of contractual monetary policies and resources repatriated to capital expenditure at the expense of other sectors.Infrastructure will not be one of top priorities in such developing country like ours?
Kamanda Asiyechoka kakumbana na Ban?? Wasikafungulie mpaka tumalizane uchaguzi!We kahaba mpuuzi achana na mimi,sifanyi mambo kwa kukariri.
It is unfortunate I can not effectively comment on economics issues now : Since I have just been contracted for similar assigments on alternative micro econimics with focus on outflows on econimic convergencies.Infrastructure dev't is paramount but balancing is of utmost importance. One of the major problems in Tz is credit creation due to low spillover effects as a result of contractual monetary policies and resources repatriated to capital expenditure at the expense of other sectors.
For example if the gov't spent trillions in SGR then it should overlap with investment in those sectors which employ more Tanzanians. Say agriculture..... Irrigation schemes, Modern farming equipments and so on.
On the contrary, ALL resources are focused on infrastructure dev't and other sectors are capsizing!!
You're an economist, talk about opportunity cost. How on earth u invest in 2 or 3 mega projects at a go!! More so two projects on the energy sector. Why wouldn't you invest in one say LPG plant and supply electricity then Hydro power plant can wait or vice versa!!
BOTTOM LINE: Infrastructure dev't is crucial but there should be a balance between resources spent on infrastructure and resources spent on other sectors of the economy. That's economics, one at a time.
Hii kitu ni serious kuwekwa X kwa nyumba za wapinzani Z'bar mkuu?!Hataya kwetu imewekwa lakni tumeshajipanga na wala hazifutwi zimewachwa hivyohivyo. Ikiwa ccm wanatka ujinga tutakufa nao kila anaejifanya mshenzi tutamnyoosha naye tukimpata.
Lakini mkuu hauoni kuna conflict of interests kucomment masuala ya siasa ilihali upo private sector hasa kitengo nyeti kma hiko tena kwa verified account?It is unfortunate I can not effectively comment on economics issues now : Since I have just been contracted for similar assigments on alternative micro econimics with focus on outflows on econimic convergencies.
Na huwa sipendi kuanza kusema , Ninachosema hapa ni mimi Gerald maoni yangu binafsi na hakiwakilishi Gerald wa WB ....... wakati ni wewe huyo huyo. Sio sawa.
Nakwamia nyumba asilimia kubwa zimewekwa X ikiwemo ya kwetu zilizonjianiHii ki
Hii kitu ni serious kuwekwa X kwa nyumba za wapinzani Z'bar mkuu?!
Angekuwa anahangaika msingetumia NECCCM Tumeccm Polisiccm kumhujumu kila mdaAnahusiana vipi na Chadema? Mbowe amekula michango mpaka Lissu anahangaika kufanya kampeni.
Huko Belgium bilw wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje?Tundu lisu hawez kuongoza Tanzania
....
Labda aende ubelgiji
Magufuli = mitano tena
Aisee kuna jambo nanyi mjiandae mkuu.Nakwamia nyumba asilimia kubwa zimewekwa X ikiwemo ya kwetu zilizonjiani
Zanzibar inaenda kupata uhuru toka kwa Mkoloni mweusi kaburu tokea chatoWazanzibari Wamshangaa Mtalii wa tume kutoka Pwani wanasema Bwana Huseni Mwinyi anajisumbua tu na kujidhalilisha bure