TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Aisee!!! Mpaka hapa, binafsi nawaachia wafuatiliaji wa mjadala huu nao wapate haki ya kutathmini maelezo tuliyotoa kisha wao wataamua ni " issues zipi ni relevant".Najibu original post yako maana naona unatanua mjadala kwa irrelevant issues.
Kila la heri mkuu. Tukutane 28/10/2020 kumchagua rais, mbunge na diwani atakayetanguliza maslahi ya watanzania na uimara wa Taifa letu Tanzania katika nyanja zote.