Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #121
sasa mbona akimaliza shoo zake 75% ya wahudhuriaji wanaondoka ?Ni wewe peke yako uliyewaza kumfuata Diamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mbona akimaliza shoo zake 75% ya wahudhuriaji wanaondoka ?Ni wewe peke yako uliyewaza kumfuata Diamond
Hata akitaka afungie kampeni kwa Amsterdam oktoba 28, kipigo kipo palepaleWanachama ndo wa kuwa makini nao maana ni wanachama aina ya team Membe team Lowasa na ukweli ni kuwa hii kujidai kwa Tl ni kwasababu wanachama hawafanyi kazi yao. Hakuna chama chenye watu wanaojua figisu za siasa kama chama tawala.... Hii nguvu aliyonayo Tl ni wanachama wa ccm wamempa. Ndo maana leo anafungia kampeni Dar-es-salaam. Katika maeneo yooote, Tl anaachwa akafungie kampeni Dar.
Thibitisha ujumbe wakosasa mbona akimaliza shoo zake 75% ya wahudhuriaji wanaondoka ?
Oya acha upumbavu basi.Ahaaaa,nani ananilipa? Mbowe? Mimi nasema kweli,kwa hiyo unategemea ban ili upumue? Jibu hoja.
Kwa nini mgombea wetu anasema atalinda haki ya faragha ya mashoga?
Wewe si unasheherekea tu humu hufahamu lolote, wanaopambana kumdhibiti wametuacha mitandaoni wapo field wanaumiza vichwa huko na dawa wanayompikia hawana uhakika kama itafanya kazi. Safari hii ni kuomba tu lipite bila kuacha alama.Hata akitaka afungie kampeni kwa Amsterdam oktoba 28, kipigo kipo palepale
Mkuu mambo magumu Bashiru na polepole KUTIKAVUWewe si unasheherekea tu humu hufahamu lolote, wanaopambana kumdhibiti wametuacha mitandaoni wapo field wanaumiza vichwa huko na dawa wanayompikia hawana uhakika kama itafanya kazi. Safari hii ni kuomba tu lipite bila kuacha alama.
Wewe endelea na Assumptions, lakini tambua siasa ni hesabuWewe si unasheherekea tu humu hufahamu lolote, wanaopambana kumdhibiti wametuacha mitandaoni wapo field wanaumiza vichwa huko na dawa wanayompikia hawana uhakika kama itafanya kazi. Safari hii ni kuomba tu lipite bila kuacha alama.
Kuna watu wanaongea kuwa ushindi ni 98%. Hawajui maji yamekorogeka na watu wanaumiza vichwa saa hizi hawalali.Mkuu mambo magumu Bashiru na polepole KUTIKAVU
Maendeleo ya watu-Uwekezaji kwa rasilimali watu (mfano bima ya afya kupitia SWF ya gesi). Maana haina maana ya kuwekeza zaidi ya trillion 6 kwenye mradi ilihali vijana wanalia hawana mitaji ya biashara au wakulima wanalia hawana masoko au pesa za kuwekeza kilimo cha umwagiliaji.Sera yake ipi huyo Auny Li? Kwa maana ushawishi wa mtu mwenye weledi kukupigia kura ni sera zako kwanza.
Ndugu Lissu, tupe majibu ya maswali haya kabla ya tarehe 28/10/2020.Mwisho Babati nawaomba mtupe serikali, tupeni mamlaka tulinde haki yako na maslahi yako. Chadema tutatengeneza serikali itakayojali uhuru, haki na maendeleo ya watu.
Ahsanteni Babati na Mungu awabariki sana
Wewe hupo humu unafurahi ila Hesabu ya kipindi hiki imekuwa ngumu sana, ufaulu si mwepesi kama ilivyotegemewa, kuna hesabu haikudhaniwa wala kufikiriwa kabisa kuwa ipo kipindi hichi ila taarifa zimeshawafikia wanaosolve hesabu kuwa hiyo hesabu inatakiwa ijibiwe tena haraka. Saa hizi wanajitahidi kuangalia namna ya kuikwepa hesabu ila bado njia haijapatikana, wewe upo humu unasubiri kusikia tu matokeo uendelee kushangilia. Jiandae kwa lolote, walinzi wako wameshaanza kujiandaa. Ila matumaini bado yapo.Wewe endelea na Assumptions, lakini tambua siasa ni hesabu
Umrpaniki bro, kunywa maji kidogoHata akitaka afungie kampeni kwa Amsterdam oktoba 28, kipigo kipo palepale
Mungu tu ndiye afahamuye yote,Mh.Lissu ni miongoni kwa watu wachache waliowahi kama wapo kuepuka kifo kwa Risasi nyingi namna ile.Tukio like lilitakiwa kuwekwa kwenye Guinness World Records Book, lakini nadhani nilikuwa baya hakuna binadamu anayeweza kuweka kumbukumbu ya aina ile.Ninajiuliza wale watu wasiojulikana kwa watu wote lakini wao wanajijua na waliowatuma wanawafahamu huwa wanajisikiaje na wapo hapa duniani ili watubu?Sasa imefika patamu.
Katibu Mkuu CCM na yule zezeta Popole ukiwasikiliza wanayonena sasa hivi utajua mkanganyiko tayari umeingia ndani ya chama hicho.
Hata zile 'Fiesta' sasa zimekosa maana; haziongezi chochote kwenye kampeni za mgombea wa chama hicho.
Hapa jamvini, hali haina tofauti. Akina Paskali wenye Njaa na ayohani Mbatizaji na kundi zima wamekuwa wa kuokoteza vijimaneno, au hawaonekani kabisa.
Hakika kuna jambo kubwa linategemewa kutokea hivi karibuni.
Huyu Jamaa aliyebugia shaba zaidi ya 16, ndio kwanza anaonekana kama kaongezewa damu mpya na nguvu zisizoelezeka zinatoka wapi!
Na yule mwenzake, zile 'pushup, safari hii zimegeuka na kuwa kutambaa kwa magoti, akiwalilia aliokuwa akiwafokea kama watoto wasimtupe mkono.
Lakini wapiga kura wasisahau, kiongozi anayekuwa juu ya sheria na katiba iliyomweka madarakani, wakifanya makosa baada ya kushuhudia yaliyofanyika, wakumbuke yatakayofuata wakifanya makosa tena safari hii, hawataishi kuyasahau.
sasa kama ccm wako mln17 Magu alipata kura ngapi 2015 au unahesabu kupitia jicho la nyumaSasa lete idadi ya wanachama wako ambao sio hewa, na kama huna kaaa kimya na utulie kama unanyolewa
Sijaona swali la kisera zaidi ya speculations. Sasa kweli tuuzwe kma manamba kweli? Kuna nchi inakubali human slavery karne hii?Ndugu Lissu, tupe majibu ya maswali haya kabla ya tarehe 28/10/2020.
====
Nawashukuru Jamiiforum.com kwa kutoa furusa hii ya kuuliza maswali. Nina imani mlengwa atayatendea haki maswali yetu kwa kuyajibu kwa ufasaha na kwa staha.
Maswali yangu ni haya kwa kuanzia.
1. Miaka kadhaa iliyopitia, Mtanzania mwenzetu ndugu Lissu, ukiwa bado mbunge ulinukuliwa ukiitakia mabaya Tanzania na watanzania wote hasa wale wenye uwezo mdogo kiuchumi. Ndugu Lissu ulinukuliwa ukisema kuwaunaitaka dunia/ ulimwengu iifungie/ iwekee vikwazo vya kiuchumi, kidiplomasia, kisiasa, kijamii na mengine kama hayo, yaani dunia itemee mate Tanzania. Kwa uhalisia vikwazo hivi vilipotumika kwenye nchi nyingine mfano Zimbabwe, Iran, hata Venezuela uathiri wananchi wenye vipato vya chini na kati, ambao kwa hapa Tanzania ndio walio walio wengi.
Je, Katika mazingira kama haya Watanzania hawa, sisi, tulio wengi tutapa sababu gani za kukuamini kuwa unaweza kuwa kiongozi wa nchi yetu na kujali maslahi ya nchi hii na watu wake wakati kwa vikwazo ulivyotuombea sisi vitupate vina lenga kukuimarisha wewe binafsi mbele ya wale ambao hawatutakii mema sisi watanzania na nchi yetu kwa ujumla wake!?
2. Siku kadhaa zilizopita ukiwa Mkoani Kilimanjaro, ulinukuliwa kupitia vyombo vya habari ikiwemo televisheni ya ITV ukisema kuwa utarudisha madaraka kwa wananchi kama ilivyokuwa wakati wa Ukoloni. Tulio wengi tunajua wakati wa ukoloni watanzani/wananchi walifanywa manamba na wengine kuuzwa nje kama watumwa.
Je, Kwa kauli hii sisi watanzania tutaachaje kuamini kuwa kipindi tu Ndugu Yetu Lissu utakapopata madaraka ya nchi hii utatuuza watanzania kwa mafungu kama bidhaa sawa na kipindi cha Ukoloni na hivyo ni halali tukunyime kura!?
3. Vyombo kadhaa vya kimataifa na baadhi vya humu nchini vimeandika habari kuwa unasimamiwa na mwansheria wa kimataifa ambaye si mtanzania. Pia wakati wamchakato wako wakupat nafasi ya kugombea inasemwa ulishawishi wajumbe wa mkutano kuvuruga wimbo wa Taifa kwa kuongeza maneno ambayo hayapo. Je, Kwa mambo yote mawili yaliyotajwa sisi watanzania tunakosaje haki ya kukunyima kura kwa kuonyesha unatudharau watanzania na pia unadharau mambo yanayotambulisha utanzania wetu!?
Karibu kwa majibu.
Source:Uchaguzi 2020 - EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii
====
Mkuu pandisha picha za Mbulu.... Aisee ni kimbunga chenye kokoto.sasa mbona akimaliza shoo zake 75% ya wahudhuriaji wanaondoka ?