fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Tupo diaries zaidi ya APO mkuuHeri kupigwa mabomu ya siku chache utanawa kuliko kupigwa njaa ya miaka 5 tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo diaries zaidi ya APO mkuuHeri kupigwa mabomu ya siku chache utanawa kuliko kupigwa njaa ya miaka 5 tena
Tarehe 29/10 ikiwa furaha kwao, watajaa humu.Muda wote, kipara kipya na stroke hawaonekani siku hizi kabisa.
Wapi akina wakudadavua? TrolJF, TumainEl, Britanicca
Nenda kwa Ndugayai ukalie wewe -lijuha-likali!Anafanya utalii wa ndani tu,kushinda ni ngumu. Kamamda tukiteneneze upya chama chetu. Tumfurushe Mbowe.
Mkuu Babati Mjini hiyoooo pandisha hapo juu... chopa sasa rasmi ...Nimejikuta nacheka sana 😆😆😆
Hiki kibwagizo ni zilipendwa mwambieni Polepole aumize kichwa atunge kingine!Wakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya, Chakushangaza baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu chadema watadai wameibiwa kura.
Hawa watu wametumwa kututafutia ban... nimetoka kifungoni juzi tu kwa kujibizana na hao kimaukishindwa hoja ondoka , usituharibie uzi , wadau waishakustukia
acha kujidanganya hao ni wanachama hewa wa nec na kati ya hao wengi watampigia kura LisuHuu ni ushubwada wa kiwango cha lami kabisa, Duuh asilimia 70 anaipataje yani kwa mfano huyo Aunt Li, hebu tuambie hapa.
Maana jumla ya wapiga kura walioandikishwa na NEC ni 29,188,347
Wanachama hai wa CCM tu pekee ni 17,000,000 bado hatujaijumuisha nguvu kazi iliyotokana na kampeni hapo, sasa hebu tuambie hapa hiyo 70% Aunt Li, anaitolea wapi?
Sasa lete idadi ya wanachama wako ambao sio hewa, na kama huna kaaa kimya na utulie kama unanyolewaacha kujidanganya hao ni wanachama hewa wa nec na kati ya hao wengi watampigia kura Lisu
asante Kamanda
Wanachama ndo wa kuwa makini nao maana ni wanachama aina ya team Membe team Lowasa na ukweli ni kuwa hii kujidai kwa Tl ni kwasababu wanachama hawafanyi kazi yao. Hakuna chama chenye watu wanaojua figisu za siasa kama chama tawala.... Hii nguvu aliyonayo Tl ni wanachama wa ccm wamempa. Ndo maana leo anafungia kampeni Dar-es-salaam. Katika maeneo yooote, Tl anaachwa akafungie kampeni Dar.Huu ni ushubwada wa kiwango cha lami kabisa, Duuh asilimia 70 anaipataje yani kwa mfano huyo Aunt Li, hebu tuambie hapa.
Maana jumla ya wapiga kura walioandikishwa na NEC ni 29,188,347
Wanachama hai wa CCM tu pekee ni 17,000,000 bado hatujaijumuisha nguvu kazi iliyotokana na kampeni hapo, sasa hebu tuambie hapa hiyo 70% Aunt Li, anaitolea wapi?
Ni wewe peke yako uliyewaza kumfuata DiamondHapo wanaofuata Diamond ni wangapi ?
Karatu vipi tena lissu kachelea wapi?mpaka sasa mkutano umeisha hajafika kulikoniHapo wanaofuata Diamond ni wangapi ?
Sera yake ipi huyo Auny Li? Kwa maana ushawishi wa mtu mwenye weledi kukupigia kura ni sera zako kwanza.Nilichogundua wanachama waCCM mna uelewa mdogo sana. Assume CCM imefungiwa siasa miaka 5 wabunge 30% wamekimbia, madiwani, Katibu mkuu n.k wote watimkie upinzani.
Bunge kma mlikua mnategemea wananchi waone michango yenu limefungiwa alafu baada ya miaka 5 utokee uchaguzi dhidi ya Rais ambaye anaonekana ana nguvu sana kimamlaka then upate nyomi ya Lissu hutaona ni muujiza?
Haya mgombea wenu pia awe hayupo nchini miaka karibu minne akiuguza majeraha then arudi nchini then hapo hapo anaanza kampeni alfu kampeni zikianza upepo unakua mzito upande wake!!!
Jifunzeni hiyo tofauti kwanza ndio utaelewa kwamba Lissu kupata uungwaji mkono kwenye mikutano yake ni special kuliko hata Dr Slaa na Lowassa sababu mazingira yalikuwa tofauti leading up to election