Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mbowe ni mwenyekiti kimakosa,bwege wewe,alitafuna michango na ruzuku mbona hukusema? Leo Lissu anahangaika kufanya kampeni.
Mimi sio muhasibu wa cdm, hilo la kuliwa hela mnalijua huko ccm,ww unayejua Mbowe Kala hela ni jukumu lako kupiga kelele. Ninachoamini mimi ni kuwa kiongozi mzuri mwisho ni miaka 10 kwenye nafasi moja, akizidi hapo ni uhuni mtupu. Lisu anangaika kufanya kampeni! Kwani kampeni ni nini kama sio kuhangaika? Utapigania mabasha vibaya sana hapa jukwaani lakini hutapata.