Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akupe maisha marefuHuku siku zikiyoyoma kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu, mgombea Urais anayependwa na wengi na ambaye anatarajiwa kushinda kiti hicho kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni za kuomba nafasi hiyo kubwa kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha .
Kama kawaida mimi mtumishi wako nitakuletea kila kinachochijiri kutoka kote inakofanyika mikutano hii .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika
" TANZANIA MPYA OYEEE , RAIS MPYA OYEEE "
View attachment 1603756
=======
"Reactions" za wana CCM humu janvini zimekuwa za matusi makali - "personal insults". Kuna matatizo kambini.Sasa imefika patamu.
Katibu Mkuu CCM na yule zezeta Popole ukiwasikiliza wanayonena sasa hivi utajua mkanganyiko tayari umeingia ndani ya chama hicho.
Hata zile 'Fiesta' sasa zimekosa maana; haziongezi chochote kwenye kampeni za mgombea wa chama hicho.
Hapa jamvini, hali haina tofauti. Akina Paskali wenye Njaa na ayohani Mbatizaji na kundi zima wamekuwa wa kuokoteza vijimaneno, au hawaonekani kabisa.
Hakika kuna jambo kubwa linategemewa kutokea hivi karibuni.
Huyu Jamaa aliyebugia shaba zaidi ya 16, ndio kwanza anaonekana kama kaongezewa damu mpya na nguvu zisizoelezeka zinatoka wapi!
Na yule mwenzake, zile 'pushup, safari hii zimegeuka na kuwa kutambaa kwa magoti, akiwalilia aliokuwa akiwafokea kama watoto wasimtupe mkono.
Lakini wapiga kura wasisahau, kiongozi anayekuwa juu ya sheria na katiba iliyomweka madarakani, wakifanya makosa baada ya kushuhudia yaliyofanyika, wakumbuke yatakayofuata wakifanya makosa tena safari hii, hawataishi kuyasahau.
Bia yao au dada kawe alumini hana cha kuongea siku hizi utasikia unachuka unaweka waaNimejikuta nacheka sana [emoji38][emoji38][emoji38]
Yatawarudia wenyewe.Habari kamili zinasema Interahamwe wa CCM huko Visiwani wameanza kuzipiga X Nyumba za Wazanzibari walioko Upinzani ili ACTwazalendo wakitangazwa waanze Mauwaji ya kutisha.
Tupe habari tupe kakaHuku siku zikiyoyoma kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu, mgombea Urais anayependwa na wengi na ambaye anatarajiwa kushinda kiti hicho kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni za kuomba nafasi hiyo kubwa kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha .
Kama kawaida mimi mtumishi wako nitakuletea kila kinachochijiri kutoka kote inakofanyika mikutano hii .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika
" TANZANIA MPYA OYEEE , RAIS MPYA OYEEE "
View attachment 1603756
=======
endelea kusubiri hapa hapaNasubiri kwa hamu kusikia Karatu mpoooooooo[emoji3577]
Anafanya utalii wa ndani tu,kushinda ni ngumu. Kamamda tukiteneneze upya chama chetu. Tumfurushe Mbowe.Huku siku zikiyoyoma kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu, mgombea Urais anayependwa na wengi na ambaye anatarajiwa kushinda kiti hicho kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni za kuomba nafasi hiyo kubwa kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha .
Kama kawaida mimi mtumishi wako nitakuletea kila kinachochijiri kutoka kote inakofanyika mikutano hii .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika
" TANZANIA MPYA OYEEE , RAIS MPYA OYEEE "
View attachment 1603756
=======
Babati
View attachment 1603942
Naasi!Kuanzia Nangwa Dareda Kati Dareda mission Bashineti Madunga njia panda, Dongobesh, Vitunguu swaum, Maskaroda, watu wamejipanga barabarani Ni Nyomi hataree Imboru na Karatu watu wamekesha...akoo na Balisee ideroooo
Nasi roaleee
Weka huu uzi kuhusu hii agenda, ni muda muafaka.... kwa amsha amsha alizoamsha na mapenzi yake kwa chama; Mh. Tundu Lissu automatically ame over-qualify kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa. Hana mpinzani kwenye hilo.
Hayakuhusu mfurusheni meko Kwanza.Anafanya utalii wa ndani tu,kushinda ni ngumu. Kamamda tukiteneneze upya chama chetu. Tumfurushe Mbowe.