Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha

Bomang’ombe
 
Attachments

  • B89CCA61-7662-43E9-AAEB-7F2B9EF6BEF1.MOV
    47.7 MB
Hahaha safi Sana ..hawa wamasai waombe mizimu ya kwao lissu ashinde .akishinda jiwe watafukuzwa wote katika ardhi yao wataambiwa kuwa waaishi ktk ardhi yenye hifadhi ya tiafa 😂 😂 ..jiwe kwa visasi tena
Wamasai sio wa kuchezea wakiamua wameamua
 
Sikiliza bwana mdogo, maana ya neno inategemeana na context kuna nchi ukisema uhuru una maana kufunguliwa kwenye lockdown au kuruhusiwa ndoa ya jinsia moja kwa hiyo hakuna universal definition ya uhuru au maendeleo.

Sasa usianze kulazimisha maendeleo ni kma definition ya Lumumba kuwa ni SGR na miundombinu!! Mie nmejibu kwa context ya Lissu sasa kazi kwako kuonyesha udhaifu wa hiyo sera.

Ukishindwa basi tarehe 28 kura yako itupie kwa Lissu na utakua umefungua ukurasa mpya wa mabadiliko.
Hoja zako huwa ni nyepesi sana. I don't know why
 
Infrastructure will not be one of top priorities in such developing country like ours?
 
Nyepesi? msaidie kujibu kauliza sera za Lissu nmemuwekea kakimbia.

Kma una substance kichwani embu debunk huo uchambuzi mdogo

Otherwise na ww ni bendera fuata upepo hata hujui unachompinga Lissu.
 
Infrastructure will not be one of top priorities in such developing country like ours?
Infrastructure dev't is paramount but balancing is of utmost importance. One of the major problems in Tz is credit creation due to low spillover effects as a result of contractual monetary policies and resources repatriated to capital expenditure at the expense of other sectors.
For example if the gov't spent trillions in SGR then it should overlap with investment in those sectors which employ more Tanzanians. Say agriculture..... Irrigation schemes, Modern farming equipments and so on.

On the contrary, ALL resources are focused on infrastructure dev't and other sectors are capsizing!!

You're an economist, talk about opportunity cost. How on earth u invest in 2 or 3 mega projects at a go!! More so two projects on the energy sector. Why wouldn't you invest in one say LPG plant and supply electricity then Hydro power plant can wait or vice versa!!

BOTTOM LINE: Infrastructure dev't is crucial but there should be a balance between resources spent on infrastructure and resources spent on other sectors of the economy. That's economics, one at a time.
 
It is unfortunate I can not effectively comment on economics issues now : Since I have just been contracted for similar assigments on alternative micro econimics with focus on outflows on econimic convergencies.

Na huwa sipendi kuanza kusema , Ninachosema hapa ni mimi Gerald maoni yangu binafsi na hakiwakilishi Gerald wa WB ....... wakati ni wewe huyo huyo. Sio sawa.
 
Hii ki
Hataya kwetu imewekwa lakni tumeshajipanga na wala hazifutwi zimewachwa hivyohivyo. Ikiwa ccm wanatka ujinga tutakufa nao kila anaejifanya mshenzi tutamnyoosha naye tukimpata.
Hii kitu ni serious kuwekwa X kwa nyumba za wapinzani Z'bar mkuu?!
 
It is unfortunate I can not effectively comment on economics issues now : Since I have just been contracted for similar assigments on alternative micro econimics with focus on outflows on econimic convergencies.

Na huwa sipendi kuanza kusema , Ninachosema hapa ni mimi Gerald maoni yangu binafsi na hakiwakilishi Gerald wa WB ....... wakati ni wewe huyo huyo. Sio sawa.
Lakini mkuu hauoni kuna conflict of interests kucomment masuala ya siasa ilihali upo private sector hasa kitengo nyeti kma hiko tena kwa verified account?

Otherwise kutojibu mada kwa kisingizio cha professionalism ilihali mada zingine za kisiasa unashiriki ni contradiction? Unless unaogopa ukikosoa sera za kiuchumi uta compromise nafasi yako.

I guess using an anonymous ID is a better option in such circumstances.
 
Wazanzibari Wamshangaa Mtalii wa tume kutoka Pwani wanasema Bwana Huseni Mwinyi anajisumbua tu na kujidhalilisha bure
Zanzibar inaenda kupata uhuru toka kwa Mkoloni mweusi kaburu tokea chato
 
Haya marangi ya nguo zao nikiyatizama huwa nasisimukwa mwili,nahisi damu damu hivi
 
Back
Top Bottom