Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha

Haya marangi ya nguo zao nikiyatizama huwa nasisimukwa mwili,nahisi damu damu hivi
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sana
 

Good suggestion on ID, but on political matters we are free only if that comment does not conflict overall with local political economy bridle.
 
Sherehe zimeanza mapemaaa

Binafsi nampa Lissu chance ya 70% kushinda uchaguzi huu. Hii ni kwa sababu kampeni yake imekuwa almost perfect. Ameepuka makosa yoyote makubwa ya kiufundi na amejua mbinu sahihi za kuyaongelea makundi mbalimbali ya wapiga kura.

Nimempa Magufuli 30% chance kwa sababu kwanza inabidi umpe heshima mpinzani wako na bado vile vile anashikilia mpini kwa hiyo hizo ni percentage za heshima kwa nafasi aliyo nayo sasa hivi. Ila uchaguzi huu anakwenda kushindwa!
 
Ndo maana wafuasi wote wa Chama cha MBOWE mliitwa Manyumbu mnaendelea kudhihilisha Unyumbu wenu humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…