Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha

Mungu akupe maisha marefu
 
"Reactions" za wana CCM humu janvini zimekuwa za matusi makali - "personal insults". Kuna matatizo kambini.
 
Ccm wameishiwa pumzi mgombea wao hauziki asafishiki. Tuliwaonya katiba yao inahitaji reformed ili mwenyekiti asiwe ndo mmiliki wa chama yasingewakuta haya, wangeweka mtu sahihi na makini wa kupambana na Lisu.
Majukwaani wamesambaratishwa vibaya pamoja na kutegemea polisi, wasanii, viongozi wa dini, tume lkn ngoma mbichi.
Ukisomesha watu namba wao watakusomesha kura zao.
Kama ccm imekatiliwa vijijini wapi tena itauzika, kusini ndo awataki hata kuisikia thus wameogopa kupeleka fiesta kusini.
 
Nimejikuta nacheka sana [emoji38][emoji38][emoji38]
Bia yao au dada kawe alumini hana cha kuongea siku hizi utasikia unachuka unaweka waa

Yohane mbatizaji maneno yameisha utasikia maendeleo hayana vyama

Changudoa wa malunde crimea yehoyuda hawana chochote zaidi ya porojo tu.

Daaah hizi buku 7 maskini wisho mwezi huu
 
Tupe habari tupe kaka
 
Anafanya utalii wa ndani tu,kushinda ni ngumu. Kamamda tukiteneneze upya chama chetu. Tumfurushe Mbowe.
 
Kuanzia Nangwa Dareda Kati Dareda mission Bashineti Madunga njia panda, Dongobesh, Vitunguu swaum, Maskaroda, watu wamejipanga barabarani Ni Nyomi hataree Imboru na Karatu watu wamekesha...akoo na Balisee ideroooo

Nasi roaleee
Naasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…