Yaani CDM propaganda mko vizuri sana nawakato mgombea wenu Jimbo la Chato ameshindwa kufanya hata mkutano mmoja wa kuomba kura.
Mgonjwa wewe. Kupigiwa Kura au kuiba kuraNilichogundua hoja za vyama vingi vya upinzania vimekaa kutugawa Watanzania, nadhani, CCM itaendelea kubaki imara muda wote na watanzania wataipigia kura.
Wanaharakati na Makamanda mliop huko,hata Mh.Lissu asipofika lakini ninaimani kuwa sera zake tumezisikia.Tumpigie kura Yeye,Wagombe Ubunge na Madiwani wa CHADEMA ili hizo huduma ziwafikie bila chenga.TL tembelea wilaya ya Bukombe, mbongwe, nyangwale, Chato, Geita vijijini na Jimbo la busanda ukiwa mkoa wa Geita. Hali ya barabara, umeme, maji Safi na salama hakuna. Pia tembelea Nyarugusu, Rwamgasa, na Kakola
Nyundo za utosi kama kwingine,sisi siyo wajinga hata kidogo.Nasubiri mkutano wa Lisu akiwa Chato.
Ndio Magu atajua kuwa WATANZANIA SIO WAJINGA.
Ninachoweza kusema CDM hawatapata hata Diwani mmoja mkoa wa Geita.
Masahihisho - Magufuli hana ngome Geita , labda utumike ukabila tu , huyu mara kadhaa amewajibu shit wazee wa huko , hawakuwahi kumpenda..Geita ni ngome ya Magufuli.
..hakuna anayetegemea Tundu Lissu au CDM watafanya vizuri ktk mkoa huo.
..lakini ni lazima kupiga kampeni mikoa na maeneo yote, huwezi kuwatenga wananchi wa Geita.
Unajua kilifanyika kitu gani 2015 hadi Magufuli akaonekana ameshinda kwa kishindo kanda ya ziwa?..Geita ni ngome ya Magufuli.
..hakuna anayetegemea Tundu Lissu au CDM watafanya vizuri ktk mkoa huo.
..lakini ni lazima kupiga kampeni mikoa na maeneo yote, huwezi kuwatenga wananchi wa Geita.
Afisa kipenyo unasemaje?Lissu anajisumbua tu nawaambia
Na siku zote ugunduzi ndio unaowapa watu imani, na imani huzaa imani, hivyo taraji ushindi wa kishindo wa CCM.
Nimeambiwa kwamba nitapewa mic siku hiyo baada ya Bananga , moto utawaka !
Kama jinsi ambivyo Magufuli alivyopokelewa kule alikozaliwa Lissu?Ukweli watanzania wamechoka CCM. Ili ukubwliane na maneno yangu subiri TL akiwa mkoa wa Geita alilizaliwa JPM utaona atakavyoungwa mkono.
Mkuu sanduku la kura ndio huamua yote, wanaomlalamikia JPM wapo lakini wanafahamika kwa makundi.
Lowasa aliungwa mkono kuliko Mrema, kuliko Tundu Lissu leo.
Vimwananchi vinamwagika bila kualikwa!Kyerwa
Nimeshangaa sanaVimwananchi vinamwagika bila kualikwa!
Wanaitwa MalofaVimwananchi vinamwagika bila kualikwa!
Eti oooh CHADEMA inajulikana mjini tu! Sasa huko ni mjini eti? Mwaka huu Magu ifuye!!Wanaitwa Malofa