Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Punguza basi uongo..
Kampeni alianza na picha zipo
Yaani CDM propaganda mko vizuri sana nawakato mgombea wenu Jimbo la Chato ameshindwa kufanya hata mkutano mmoja wa kuomba kura.
 
Nilichogundua hoja za vyama vingi vya upinzania vimekaa kutugawa Watanzania, nadhani, CCM itaendelea kubaki imara muda wote na watanzania wataipigia kura.
Mgonjwa wewe. Kupigiwa Kura au kuiba kura
 
TL tembelea wilaya ya Bukombe, mbongwe, nyangwale, Chato, Geita vijijini na Jimbo la busanda ukiwa mkoa wa Geita. Hali ya barabara, umeme, maji Safi na salama hakuna. Pia tembelea Nyarugusu, Rwamgasa, na Kakola
Wanaharakati na Makamanda mliop huko,hata Mh.Lissu asipofika lakini ninaimani kuwa sera zake tumezisikia.Tumpigie kura Yeye,Wagombe Ubunge na Madiwani wa CHADEMA ili hizo huduma ziwafikie bila chenga.

CCM wameshindwa kufikisha huduma za maji hata kwa wakazi wanaoishi pembezoni mwa Maziwa Mkubwa na madogo,Mito isiyokauka nchi hii pamoja na maeneo oevu tele tuliyonayo kwa miaka yote 60 ya Uhuru na bado wanataka kututawala ili iweje?

Tunatakiwa kuchukua hatua kwa pamoja kupitia kura za kimbunga kwa ajili ya Uhuru wetu,Haki zetu na maendeleo yetu sote bila CCM.
 
Ninachoweza kusema CDM hawatapata hata Diwani mmoja mkoa wa Geita.

..Geita ni ngome ya Magufuli.

..hakuna anayetegemea Tundu Lissu au CDM watafanya vizuri ktk mkoa huo.

..lakini ni lazima kupiga kampeni mikoa na maeneo yote, huwezi kuwatenga wananchi wa Geita.
 
..Geita ni ngome ya Magufuli.

..hakuna anayetegemea Tundu Lissu au CDM watafanya vizuri ktk mkoa huo.

..lakini ni lazima kupiga kampeni mikoa na maeneo yote, huwezi kuwatenga wananchi wa Geita.
Masahihisho - Magufuli hana ngome Geita , labda utumike ukabila tu , huyu mara kadhaa amewajibu shit wazee wa huko , hawakuwahi kumpenda
 
..Geita ni ngome ya Magufuli.

..hakuna anayetegemea Tundu Lissu au CDM watafanya vizuri ktk mkoa huo.

..lakini ni lazima kupiga kampeni mikoa na maeneo yote, huwezi kuwatenga wananchi wa Geita.
Unajua kilifanyika kitu gani 2015 hadi Magufuli akaonekana ameshinda kwa kishindo kanda ya ziwa?

Kaulize hadi huko vijijini, kitu gani CCM walikifanya, ndipo utajua kama Ni ngome au la.
 
Nimeambiwa kwamba nitapewa mic siku hiyo baada ya Bananga , moto utawaka !

Lini mtamleta huku kwetu Kilimanjaro ? Bwana mkubwa mwiba umengia ndani sana ya mguu wake, anautoa kwa taabu sana.
Tuna hofu Baba Lao akija akamwaga upupu huku mwiba unaweza kukatalia ndani ya mguu.
 
Ukweli watanzania wamechoka CCM. Ili ukubwliane na maneno yangu subiri TL akiwa mkoa wa Geita alilizaliwa JPM utaona atakavyoungwa mkono.
Kama jinsi ambivyo Magufuli alivyopokelewa kule alikozaliwa Lissu?
 
Una uhakika?
Mkuu sanduku la kura ndio huamua yote, wanaomlalamikia JPM wapo lakini wanafahamika kwa makundi.
Lowasa aliungwa mkono kuliko Mrema, kuliko Tundu Lissu leo.
 
Back
Top Bottom