Umeanza kuvurugwa na wewe kama Mgombea wako, Kwenye heading unatuambia Kigoma na Geita huku kwenye maelezo unatuandikia Kagera na Geita. Huko Kigoma kumewavuruga, mikutano yote mnafanyia uchocholoni.Wakuu natanguliza salamu , na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada , kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita , katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee kwenye jimbo la Chato....
Maneno iko hapo kwenye mkutano mkuu maalum ChuttleWakuu natanguliza salamu , na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada , kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita , katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee kwenye jimbo la Chato...
AMINA.Mungu Mlinde na Mbariki mja wako Tundu Antiphas Lissu. Muepushe na mabaya wa wabaya wote! Kwa Jina la Yesu Kristo.
Ratiba inakuja usihofuBukoba mjini mbona sijaona? Ni lini?
Nimeambiwa kwamba nitapewa mic siku hiyo baada ya Bananga , moto utawaka !Maneno iko hapo kwenye mkutano mkuu maalum Chuttle
Sawa basi nawe usisumbuke kama yeyeLissu anajisumbua tu nawaambia
Maneno iko hapo kwenye mkutano mkuu maalum Chuttle
Mungu mlinde na waio julikana leo, kiumbe wako leo anapita kanda hatari sana
Cant wait to see you there...kuna ishara ukiifanya nitakufahamuNimeambiwa kwamba nitapewa mic siku hiyo baada ya Bananga , moto utawaka !
Lissu ambaye hana doa wala kshifa
Our prayers are with himMungu mlinde na waio julikana leo, kiumbe wako leo anapita kanda hatari sana
MVOMERO KUNA RAS.?Lowassa alisema elimu!elimu!Halafu huo ni ujinga, kutuletea taarifa kama hizo.Mbona LISSU marehemu dada yake alikuwa viti maalaum Chadema?Mbaya zaidi ,nyumba ndogo za MBOWE ni viti maalum.Ndiyo, na mume wake ni RAS wa Mvomero anaitwa Hofman Sanga. Halafu kuna mbigiri zinasema tujiajiri!
Mwambieni msukuma awaletee maji huyu atakuja kuwachangisha hela za kampeni hapo
πππππ
Sorry ni DAS.MVOMERO KUNA RAS.?Lowassa alisema elimu!elimu!Halafu huo ni ujinga ,kutuletea taarifa kama hizo.Mbona LISSU marehemu dada yake alikuwa viti maalaum Chadema?Mbaya zaidi ,nyumba ndogo za MBOWE ni viti maalum.
unauhakika alizaliwa hapo?Ukweli watanzania wamechoka CCM. Ili ukubwliane na maneno yangu subiri TL akiwa mkoa wa Geita alilizaliwa JPM utaona atakavyoungwa mkono.