I swear before God and Man! Kuna usiku niliota kitu cha namna hii.
Usiku wa majuzi wiki iliyopita niliota Lissu kambwaga Magufuli kwenye uchaguzi huu wa 2020.
Kazi iliyobaki kwa Lissu ni kulinda ushindi wake na ndilo jukumu la watanzania.
BAVICHA hahahaha Kumbe Mnatuandikia Mambo ya Ndoto hapa He like Siku uliota Inamabegi ya Hela ukaamka huna hata kumi mbona huwaambii watuI swear before God and Man! Kuna usiku niliota kitu cha namna hii.
Usiku wa majuzi wiki iliyopita niliota Lissu kambwaga Magufuli kwenye uchaguzi huu wa 2020.
Kazi iliyobaki kwa Lissu ni kulinda ushindi wake na ndilo jukumu la watanzania.
Ukiona mtu ana bwabwaja kutetea hawa MAJANGIRI WA CCM ujue ni mnufaika wa biashara fulani HARAMU. Mtu mwenye akili timamu atajisikia AIBU KUBWA SANA kushabikia hii Serikali ya WATEKA NYARA.Nikiona kijana mwenzangu yupo CCM namdharau sana
Kushabikia ccm na magufuli ni uzwazwa uliopindukia viwango vya kawaidaWatu hewa ndo washabiki wa tundu lissu.
Matako huna akili! Yaani unamwulizia Kigoma leo?Nipo kigoma mjini lkn sijui Tundu kama yupo kigoma aise
hivi anautubia lini ?
Mkuu nimekuelewa vizuri sana jinsi ulivyoainisha. Pia zipo nyingine ambazo ni njia ya ubongo kulinda mwili usiku. Yaani ikitokea mtu kalala vibaya akawa anaumiza kiungo chochote cha mwili ataota ndoto ya kutisha itakayomwamsha kwa lengo la kulala tena kwa ufasaha.Kuna ndoto za aina 3:-
1--- Ndoto inayoakisi matukio au fikra zilizomo akilini kabla mtu hujalala.
2--- Ndoto zitokanazo na mparaganyiko (derangement) ya fikra kutokana na sababu mbalimbali.
3---Ndoto zitokazo moja kwa moja mbinguni, (prophetic dream).
Kama ndoto yako ni hii ya aina ya 3, basi Tundu lissu atashinda.
Sasahivi watakao tusaliti, tulenao sahani moja! situnaishi nao mitaani! kwani wao Hawana miili yenye damu na nyama?? Hata wachawi huwa wanakufa au kufiwa, nao huwa wanahisi maumivu Kama wengine! Mwaka huu ni zamu ya wachawi kulia!Hivi Magu amewahi kumshinda Nani kwenye uchaguzi ulio huru? Maana Lowasa alimshinda mbaaali sana ila Lubuva alaaniwe huko aliko akamtangaza jiwe
Mkuu ndoto zimekuwa njia ya kutuhabarisha juu ya mambo yasiyo kuwa bayana kwa wakati husika. Msimamo wako una nafasi yake maana hata Biblia inasema kuamini ndoto ni upumbavu.....Lakini kwenye Biblia hiyo hiyo Ndoto zimetumika kama njia ya kuwapa watu ujumbe kwanzia agano la kale hadi agano jipya.BAVICHA hahahaha Kumbe Mnatuandikia Mambo ya Ndoto hapa He like Siku uliota Inamabegi ya Hela ukaamka huna hata kumi mbona huwaambii watu
Mkuu,hawa wananchi mbona wanaonyesha nyuso za furaha wanapomshangilia Mh. Lissu tofauti na wale wa yule bwana?
Siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati, niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga". Dkt.MagufuliKwanini picha za chadema zote ni zile zilizoeditiwa?
Hilo ndio jibu la kwanini picha za kampeni za chadema zinaeditiwa?Siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati, niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga". Dkt.Magufuli
Huo 'utafiti' wako uliufanyia lumumba ipi, ya kwenu Burigi? Huku Kagera hatujakuona wala kukusikiaHuo umma unaundwa na mtu mmoja mmoja na watu hawaitaki chadema ndio tatizo
Kina mwinjaku.Ukiona mtu ana bwabwaja kutetea hawa MAJANGIRI WA CCM ujue ni mnufaika wa biashara fulani HARAMU. Mtu mwenye akili timamu atajisikia AIBU KUBWA SANA kushabikia hii Serikali ya WATEKA NYARA.
Ni spana juu ya spana mpaka akili ziwavurugike zoteHakika
#NiYeyeUhuruHakiNaMaendeleoYaWatu