Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
I swear before God and Man! Kuna usiku niliota kitu cha namna hii.
Usiku wa majuzi wiki iliyopita niliota Lissu kambwaga Magufuli kwenye uchaguzi huu wa 2020.
Kazi iliyobaki kwa Lissu ni kulinda ushindi wake na ndilo jukumu la watanzania.
Kuna ndoto za aina 3:-
1--- Ndoto inayoakisi matukio au fikra zilizomo akilini kabla mtu hujalala.
2--- Ndoto zitokanazo na mparaganyiko (derangement) ya fikra kutokana na sababu mbalimbali.
3---Ndoto zitokazo moja kwa moja mbinguni, (prophetic dream).
Kama ndoto yako ni hii ya aina ya 3, basi Tundu lissu atashinda.