Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Umempa zake huyo malaya, anaejiita Jane Lowasa, huwa anapenda kuleta shobo kumbe hata kuandika hajui maskini. Na hapo ndo unamkuta ni shabiki waheda wa green partyYaani wewe nashauri urudi kwanza darasani ukajifunze Kuandika kiswahili: Sina uhakika kama Umeona ulichokiandika?!!! Kibalaka, mabebelu, awezi, lais, ata, labda ulikuwa Unaandika kilugha chenu, hakuna kiswahili hapo!!?
Hawana hamu!!! Moto wa Lissu ni balaaaaLissu unayalaza macho MATAGA. Hayaamini wanachokiona, yamepagawa.
#NIYEYE #LISSURAIS2020 ✌🏽✌🏽✌🏽
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa Rais!
Watanzania tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Lissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa Rais ata iweje.
Wananchi wa wapi unawasemea wameamua? Labda wananchi wako hapo gheto kwako mnaposhinda mkidanganyana,Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa Rais!
Watanzania tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Ukibaraka aliuanza lini? Kitu gani kimesababisha kuwa kibaraka? Chanzo cha kuwa kibaraka ni nini?Lissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa Rais ata iweje.
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa Upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi ni mbuzi jikeLissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa Rais ata iweje.
CCM huwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike?Ukibaraka aliuanza lini? Kitu gani kimesababisha kuwa kibaraka? Chanzo cha kuwa kibaraka ni nini?
Lissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa Rais ata iweje.
Ni yeye Lissu 2020 Watanzania tunasema unatosha, bye bye MaguWakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni wananchi , basi kwa heshima na taadhima nakuombeni tuendelee kubaki hapa hapa kwa taarifa zaidi.
=========
LISSU: Naomba nizungumze habari ambayo leo Rais wetu ameizungumza pale kijijini kwake Chato. Amesema kwamba huyo mtu aliokula ugali akashiba anachikiona ni Chato tu, kwanini hahoji viwanja vingine ambavyo tumevijenga akataja Singida, Songea, Shinyanga, Dodoma na vingine vingi.
Nimezungumza Chato sana, naomba nifafanue kwanini Chato lazima iwe kelele.
Uwanja wa Chato ni tofauti na viwanja vingine vyote, tofauti yake ni hii, Chato ni kijiji wala sio mji. Karibu na Chato kuna kamji kakubwa kanaitwa Katoro hakana uwanja wa ndege, mbele kuna mji mkubwa wa Geita, hakuna uwanja wa ndege.
Sasa kwanini Chato? Ni kwa sababu mija tu, Magufuli ni Rais ndio maana kuna uwanja wa ndege Chato. Mwaka 97 wakati Mkapa akiwa Rais ilitungwa sheria ya maadili ya viongozi wa umma, inasema kiongozi wa umma hapaswi kutumia mamlaka yake ya umma kwa manufaa yake binafsi.
Kiongozi wa umma wa kwanza ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, tujiulize manufaa ya umma ya uwanja wa ndege wa Chato ni yepi?
Hizi ndege nyingi alizonunua anazotutambia nazo hakuna hata moja inayokwenda Chato. Hakuna abiria hata mmoja anaekwenda Chato, mtu pekee anaekwenda Chato ni Rais Magufuli na nimesema na mama yake wala sio uongo, na ndugu zake.
Uwanja wa Chato umeharibu mabilioni ya shilingi za kitanzania, ni mfano wa kwanza wa jinsi ambavyo watu wenye mamlaka ya umma wanaweza kutumia mamlaka yao vibaya.
=======
UPDATES
Hapa ni jimbo la Makambako Mkoa wa Njombe
View attachment 1569763
View attachment 1569768
Kang'aa 😎 tabasamu lake sasaaaa!Mkorogo😛😂😂
Kwahiyo hao wanaokusanyika, wanaotaka kumpigia kura wao sio watanzania?Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa Rais!
Watanzania tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Kwa hiyo kusali ni kutojiamini siyo. Makamanda mtatuonesha mengi mwaka huu. Nasubiri kuona mwelekeo wa post zenu hapa kuanzia Novemba. Sijui mtaanza na lipi, tume huru au katiba! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni wananchi , basi kwa heshima na taadhima nakuombeni tuendelee kubaki hapa hapa kwa taarifa zaidi...
UPDATES
Hapa ni jimbo la Makambako Mkoa wa Njombe
View attachment 1569763
View attachment 1569768
Vyote na wewe kama una akili timamu unajua hivyoKwa hiyo kusali ni kutojiamini siyo. Makamanda mtatuonesha mengi mwaka huu. Nasubiri kuona mwelekeo wa post zenu hapa kuanzia Novemba. Sijui mtaanza na lipi, tume huru au katiba! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]