Shida yako ni kwamba umeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgijiAtiiiiiiiiiiiiii niiiiiiiiiii?
Ungekuwa unapendwa hivi na watu kutoka moyoni ungeacha kuwa rais wao? Ebooh!View attachment 1569558
Mimi na watz wenzangu
[emoji23][emoji23] Hongera you're "Omniscient"Shida yako ni kwamba umeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgiji
Shake well before useLisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Changamoto ni mahaba ya vyama yanatia upofu na objectivity. Na ndio maana wapinzani walitaka maridhiano tulipofikia hapa ni kwamba chochote kikifanywa ba serikali au upinzani lazima watu wagawanyike kwenye maoni tena kwa jazba na matusi.Hello GT,
Kuna wakati napata taabu Sana kuona jinsi vijana wetu wanakosa hoja, za kupinga, kukosoa au kujibu na kufanya majadiliano yenye Tija.
Mfano: Lissu katoa hoja ya bima ya afya bure kwa taifa Zima Kuna vijana wanasupport na Kuna wanaopinga lakini wengi wanaopinga wanaishia kusema Lissu hawi Rais. Hoja sio kuwa au kutokuwa, hoja he sera hiyo inatekelezeka? Vijana wanashindwa kuhoja
Mfano wa pili: Magufuli amesema ataongeza Ndege na hata kujenga Reli Hadi Mwanza. Vijana hawapingi kwa hoja Bali maneno maneno yasiyo na facts and figures. Tujifunze kujenga hoja na tufikie conclussion
SASA mwenyewe kama ameshasema ni kazi ngumu kuishinda ccm nyie wafuasi mnamlazimishaje ashindeLisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Wewe beberu wako ni MAGU usitake kutuzuia humuLisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Jambo zuri ni kwamba hawa watu hawakuletwa na malori, wamekuja wenyewe kwa mapenzi mema toka moyoni.Atiiiiiiiiiiiiii niiiiiiiiiii?
Ungekuwa unapendwa hivi na watu kutoka moyoni ungeacha kuwa rais wao? Ebooh!View attachment 1569558
Hata asipokuwa rais ila atleast tunamwaga sumu nchi nzimaLisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Matumizi ya picha kama hizi za kutengeneza ninazipinga. Mwaka 2015 zilidanganya umma,chama chetu kikaambulia patupu.Atiiiiiiiiiiiiii niiiiiiiiiii?
Ungekuwa unapendwa hivi na watu kutoka moyoni ungeacha kuwa rais wao? Ebooh!View attachment 1569558
Jisemee nafsi yako ndugu,achana na watu wengineLisu atakatwa na watz tena kwa aibu ataona bora angekatwa na nec
Si tume huru hiyo au?Sisi CCM tunampinga mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi, kwanini hajamkata TL. Ametuletea mtihani mkubwa.
[emoji23][emoji23] Unachekesha umma wewe. Ccm nyuma ya fake ID kamanda.Matumizi ya picha kama hizi za kutengeneza ninazipinga. Mwaka 2015 zilidanganya umma,chama chetu kikaambulia patupu.
Kamanda kwa nia njema ya chama chetu unaweka picha za Dumila mtu yupo Mufindi ili iweje sasa?[emoji23][emoji23] Unachekesha umma wewe. Ccm nyuma ya fake ID kamanda.
In case you don't know this was Dumila.
View attachment 1569596View attachment 1569597View attachment 1569598