Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Hello GT,

Kuna wakati napata taabu Sana kuona jinsi vijana wetu wanakosa hoja, za kupinga, kukosoa au kujibu na kufanya majadiliano yenye Tija.

Mfano: Lissu katoa hoja ya bima ya afya bure kwa taifa Zima Kuna vijana wanasupport na Kuna wanaopinga lakini wengi wanaopinga wanaishia kusema Lissu hawi Rais. Hoja sio kuwa au kutokuwa, hoja he sera hiyo inatekelezeka? Vijana wanashindwa kuhoja

Mfano wa pili: Magufuli amesema ataongeza Ndege na hata kujenga Reli Hadi Mwanza. Vijana hawapingi kwa hoja Bali maneno maneno yasiyo na facts and figures. Tujifunze kujenga hoja na tufikie conclussion
 
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!

Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Shake well before use
 
Changamoto ni mahaba ya vyama yanatia upofu na objectivity. Na ndio maana wapinzani walitaka maridhiano tulipofikia hapa ni kwamba chochote kikifanywa ba serikali au upinzani lazima watu wagawanyike kwenye maoni tena kwa jazba na matusi.
Hatukuwahi gawanyika kwa kiasi hiki. Kumbuka ndege ilivyokamatwa watu walishangilia sana, tetesi za Mhe kuugua watu walishangilia sana. Haya yote sababu ya kutugawa kivyama badala ya kuwa Rais wa vyama vyote.

Mshaurini ajifunze kwa Kenyatta leo hii wajaluo na wakikuyu wanapanda jukwaa moja haikuwa rahisi!!
 
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!

Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
SASA mwenyewe kama ameshasema ni kazi ngumu kuishinda ccm nyie wafuasi mnamlazimishaje ashinde
 
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!

Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Wewe beberu wako ni MAGU usitake kutuzuia humu
 
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!

Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Hata asipokuwa rais ila atleast tunamwaga sumu nchi nzima
 
Pana mgombea mmoja ameng'ang'ania mda Mrefu Kanda moja tu kipindi choote tangu aanze kampeni tume inasemaje haioni Kanda zingine zitakosa haki
 
Matumizi ya picha kama hizi za kutengeneza ninazipinga. Mwaka 2015 zilidanganya umma,chama chetu kikaambulia patupu.
[emoji23][emoji23] Unachekesha umma wewe. Ccm nyuma ya fake ID kamanda.

In case you don't know this was Dumila.
IMG_20200913_193311.jpeg
IMG_20200913_193308.jpeg
IMG_20200913_125437.jpeg
 
Leo kakera tena akiwa Mufindi.
Anasema
Rais anayeanza kwa kujenga jenga nyumbani kwake basi huyo anajiandaa kuwa Rais wa maisha.

Amewatajia mfano Malawi na Ivory coast.

Ameamua kuendelea kukera7
 
Back
Top Bottom