Taarifasahihi
Senior Member
- May 24, 2019
- 170
- 157
Yaani wewe nashauri urudi kwanza darasani ukajifunze Kuandika kiswahili: Sina uhakika kama Umeona ulichokiandika?!!! Kibalaka, mabebelu, awezi, lais, ata, labda ulikuwa Unaandika kilugha chenu, hakuna kiswahili hapo!!?Lissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa lais ata iweje.
Kwani hawajui wewe ukitembelea kwenye magroup yao, huko wanavyotetemeka kwa sumu anazosambaza lisu, ila ni ile kujitutumua tu!! Kwani hawakutegemea kukutana na hiki kinachotokea kwenye mikutano yake!!! Walijua kwa kununua ndege, madaraja wamemaliza!!!Lissu ana hoja tutambeza lakini yuko vizuri kichwani
Leo kakera tena akiwa Mufindi.
Anasema
Rais anayeanza kwa kujenga jenga nyumbani kwake basi huyo anajiandaa kuwa Rais wa maisha.
Amewatajia mfano Malawi na Ivory coast.
Ameamua kuendelea kukera7
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Afadhali wewe umeshindwa kuzuia hisia zako mkuu, kongore.
MUNGU na Lissu, shetani na jini lile la chatoWakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA.
UPDATES
Hapa ni jimbo la Makambako Mkoa wa Njombe
View attachment 1569763
Mkorogoπππ
Usishangae ikifika hiyo tarehe ya mdaharo jamaa akasepa zake ujerumani
Ndio maana yake eti mtu hawezi kujenga chato ambako anajua hakuna faida ya kitaifa. Lazima anajua atafaidi milele
Mimi nafikiri angemkata ndiyo mtihani ungekuwa mkubwa zaidiSisi CCM tunampinga mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi, kwanini hajamkata TL. Ametuletea mtihani mkubwa.
ππππUsishangae ikifika hiyo tarehe ya mdaharo jamaa akasepa zake ujerumani
Amtaje hashim rungwe?lengo lake ni kumwaga sumu tu,baada ya uchaguzi ukitaja bure jina la bwana mkuu unapewa kesi nzito,ngoja tumzingue kwa miezi hii miwili hadi akomeYan huyu jamaa asimame pahala asimtaje magufuli!!!! Piga campen bwn, ww ukiwa rais huto jenga kwenu??? Haoo inaonesha dhahiri unamuhaha mh JPM.
Kwa kweli mwamba mwaka huu mmepata matatizo makubwa, Lowassa cha mtoto sijui mtaibaje hizo kura?Sisi CCM tunampinga mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi, kwanini hajamkata TL. Ametuletea mtihani mkubwa.
Kibaraka wa beberu ndio tutamchagua sio yule kibaraka wa wachina..Lissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa lais ata iweje.