Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Katika nchi hii yenye uhaba wa ajira kwa vijana walioelimika na kuelimika eti mtu mmoja tu awe mbunge kwa miaka 20. Hivi kweli tunakuwa tumelogwa au vipi?vijana wenzangu tutafakar hawa wazee wamekula mema ya nchi kwa miaka mingi na maendeleo hatuyaoni,,!Je vijana tumelogwa nanani??

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kuitenganisha CCM na Ismani tangia ene za Dr Kleruu na Mamwindi!
Ccm haipendwi isimani tangu enzi za Chama kimoja baada ya kuwanyang’anya watu mashamba kuhamasisha Sera za kimaskini za kijamaa!! Umasikini wa Isimani chanzo kikuu ni CCM
 
Kweli jamaa wanarukaruka. Hawajiamini Sasa wanategemea msigwa aokoe jahazi iringa mjini. Halafu utamsikia Erythrocyte anakuja na nyomi ya kufa mtuuu!
 
Mungu amfikishe salama, lakini awache uzembe wa kurudia speech za kila leo, na kumuandama Magufuli, azungumzie ajenda zake
 
“Leo Jumapili Septemba 13: Mgombea Urais wetu, Tundu LISSU [ @TunduALissu ]atafanya mikutano na kuzungumza na wananchi na wapiga kura wa Ismani, Kalenga na Iringa Mjini”. - JJ Mnyika.

Atawanadi wagombea Ubunge na Udiwani wetu wa #CHADEMA
View attachment 1568357
#ChaguaLissu
#ChaguaCHADEMA
Songa mbele Kamanda ushindi ni dhahiri.Wapiga kura tunakuelewa na tupo pamoja nawe.
 
Back
Top Bottom