Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Subiri uoneHuo muziki ulimshinda Chiku Abwao atauweza huyo dogo mfugaji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri uoneHuo muziki ulimshinda Chiku Abwao atauweza huyo dogo mfugaji!
Aliwahi enda wakati wa hofu akarudi bila hofu, ameenda tena vile vile atarudi tena vile vile.Yule mwiningine yuko Chattle anatafakari alikosea wapi!!!
Acha kumsema vibaya mdogo wanguSky Eclat.....
Umekula Mirungi Ama Ni kahawa ya MOCKA na Cappuccino?!!!
TAL akishinda Akupe UBALOZI tu AISEEEE[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Majira ya 2020 siyo ya Kleruu na MwamwindiHuwezi kuitenganisha CCM na Ismani tangia ene za Dr Kleruu na Mamwindi!
Una tabia Kama za mwenyekiti wako Magufuli.Huyo masai?!
Nachambua waliomshauri m.kiti vibaya.Yule mwiningine yuko Chattle anatafakari alikosea wapi!!!
Kwa Lukuvi hapati kitu anaenda tu kutalii
Bwashe acheni ubaguzi na ukabila kwenye kampeni. Masai siyo mtu? Siyo mtanzania?Huyo masai?!
FARAJA NAYO NI TIBA.
Hahaha wanajipa Faraja hewaFARAJA NAYO NI TIBA.
😂😂😂Anakula peshen yake kwanzaYule mwiningine yuko Chattle anatafakari alikosea wapi!!!
Nimeuliza kwa nia njema bwashee, Isimani siyo mjini kama Arusha au Kawe!Bwashe acheni ubaguzi na ukabila kwenye kampeni. Masai siyo mtu? Siyo mtanzania?
kamaliza Morogoro sasa yupo Iringa
yule mwengine yupo Kalala kwa pressure
Kwani Msigwa alianza ubunge 2015 ?msigwa alipata ubunge kwa mgawanyiko wa ccm uliotokana na lowassa
Mwaka huu hata yeye Msigwa anajua kuwa hapiti