Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Katika nchi hii yenye uhaba wa ajira kwa vijana walioelimika na kuelimika eti mtu mmoja tu awe mbunge kwa miaka 20. Hivi kweli tunakuwa tumelogwa au vipi?vijana wenzangu tutafakar hawa wazee wamekula mema ya nchi kwa miaka mingi na maendeleo hatuyaoni,,!Je vijana tumelogwa nanani??

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kuitenganisha CCM na Ismani tangia ene za Dr Kleruu na Mamwindi!
Ccm haipendwi isimani tangu enzi za Chama kimoja baada ya kuwanyang’anya watu mashamba kuhamasisha Sera za kimaskini za kijamaa!! Umasikini wa Isimani chanzo kikuu ni CCM
 
Kwahiyo ameshapiga kampeni morogoro amemaliza anaenda iringa

Au tunachagua Sehemu ambazo tutapata walau watu wachache wa kuhutubia
Teh teh mnachonifurahisha mataga kwenye nyuzi zenu mnakuwaga wenyewe tu ila za CDM mnakuja pia. Hakika Lissu ni mpango wa Mungu.
 
Kweli jamaa wanarukaruka. Hawajiamini Sasa wanategemea msigwa aokoe jahazi iringa mjini. Halafu utamsikia Erythrocyte anakuja na nyomi ya kufa mtuuu!
 
Mungu amfikishe salama, lakini awache uzembe wa kurudia speech za kila leo, na kumuandama Magufuli, azungumzie ajenda zake
 
Songa mbele Kamanda ushindi ni dhahiri.Wapiga kura tunakuelewa na tupo pamoja nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…