Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Lissu hata akishinda haitasaidia, CCM karibu wabunge 50 wamepitishwa na NEC bila ridhaa ya wananchi hivyo hata kuwa na nguvu yoyote
 
Nadhani atakuwa kapita bila kupingwa πŸ˜†πŸ˜†
Ngoja niwawekee MATAGA picha ya Lowassa akihutubia mwaka 2015 kama wanavyotaka tufanye πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…

CC YEHODAYA Kawe Alumni jingalao Wakudadavuwa karibuni mufurahie
 
Lissu hata akishinda haitasaidia, CCM karibu wabunge 50 wamepitishwa na NEC bila ridhaa ya wananchi hivyo hata kuwa na nguvu yoyote
Wabunge wenyewe wa Ccm wanao piga makofi tu
Lisu akiwa raisi ccm wote wanahamia chadema wabunge wa Ccm ni njaa tu na kulinda maslahi yao hawana faida yoyote kwetu
 
Kama picha ndio kura za wananchi Chadema ingekuwa imeshashinda.
 
Kawaida kuleta picha mlizochakachua sura hazionekani na huwa na giza kama hii kitengo cha uchakachuaji picha Chadema hongereni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…