Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Mnajitahidi kupotosha! Iringa na minazi wapi na wapi?

Kila siku nasema Lisu atatia aibu kuliko wagimbea wote waliowahi kugimbea chadema!

Chadema hii ya Lisu ndio mmefikia hatua ya kuokoteza vipicha namna hii?

Ona huyu kamanda enzi hizo kabla wenye chadema yao hawajaamua kuiuza, kisha niambie Lisu anaingia mara ngapi hapo? [emoji116][emoji116] View attachment 1568575
Hahahahaha wape mambo hao hawajielewi
 
CCM haijawahi kufutikq Iringa tangu mfumo wa vyama vingi uanze, upinzani umekuwa ukichukuwa Jimbo la Iringa mjini pekee, majimbo yote yaliyobaki hayajawahi kuchukuliwa na upinzani.


Hata hivyo niwapongeze IT wa chadema kwa jinsi wanavyojitahidi kuhariri picha kabla hawajazituma mtandaoni.

Vipi mbona jana hatujapata picha kutoka Morogogoro .
Wewe hukuwa Moro mkuu?
 
Nisamehe Sana Mkuu Wala sikua na Nia mbaya......nilitaka tu nijue Pumzi yake ya masaa 32 mfululizo kupost MAZURI ya mh.Lissu aliipata kupitia vitu vp?😁😁

Nimemuombea awe Balozi Wetu Ikiwa Mwamba ataingia ikulu😂😂
Mh, ngoja aje! Kwanini ubalozi and not any other post in case?
 
Hizi picha mbona watu walewale ile mbeya iringa tabora, hii camera ya cdm kiboko
 
baada ya Lissu jana kuwavuruga ccm hapa ifakara jimbo la kilombero, leo maccm yamemleta Ndugai spika wa bunge. Yupo na mkwe wake Lijualikali wanaharibu kumnadi Abubakar Asenga.
Wanakazi ngumu kwa kweli. Sioni amsha amsha yoyote zaidi ya gari ya matangazo inayopita na kuwaomba raia wakamsikilize ndugai.

Ccm kwa hapa kilombero hususani hapa mjini wana hali mbaya sana.
 
Ila watu ni wajinga sana. Picha ni sehemu ya kuhabarisha na haipaswi kuwa obsession ya idiots.
Cha muhimu ni substance kwenye maneno ya mgombea.
 
Chadema sera yake ni kupiga vita miundombinu na kuwaahidi kuwanunulia watu vyombo vya jikoni...
 
Mwembetogwa yatapika
Subpost 2 - Picha za awali, zikionesha matukio mbalimbali katika Uwanja wa Mwemb ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Picha za awali, zikionesha matukio mbalimbali katika Uwanja wa Mwemb ( 426 X 640 ).jpg
 

Attachments

  • Muda huu Iringa katika mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa JMT kupitia CHADEM ( 352 X 640 ).mp4
    1.6 MB
Msigwa yupo Bungeni tangu 2010, Vilaza wa CCM muwe mnaweka rekodi zenu vizuri maana mwaka huu wameletwa vilaza ambao hamjui Historia za Bunge.
msigwa alipata ubunge kwa mgawanyiko wa ccm uliotokana na lowassa
Mwaka huu hata yeye Msigwa anajua kuwa hapiti
 
msigwa alipata ubunge kwa mgawanyiko wa ccm uliotokana na lowassa
Mwaka huu hata yeye Msigwa anajua kuwa hapiti
ndio maana Bashiru anawambia uvccm imejaa vilaza
 

Attachments

  • 2518122_Muda_huu_Iringa_katika_mkutano_wa_kampeni_wa_mgombea_urais_wa_JMT_kupitia_CHADEM__352_...mp4
    1.6 MB
Back
Top Bottom