Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mnatia aibu sana mkuu! Hivi mnafikiri kila mtu hapa ni mbumbumbu?Leta updates za kushikana uchawi huko CCM!! Naona hadi mzee kakodi majeshi kwa mseveni leo
Yani jamaa kaokota picha sijui wapi huko alafu ndio anasema eti Lisu Iringa,!
Lisu mwaka huu atapata aibu ambayo hakuitegemea.
Mambo haya ya kufoji picha tumezoea kuyaona huko ccm, lakini siku hizi mambo yamekuwa kinyume chake