Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

CCM wajiandae kukabidhi madaraka kwa kupenda auk utokupenda maana hawatoboi kwenye sanduku la kura.

Hali ndio hii Iringa leo hii:

Hii ndo Iringa ya @MsigwaPeter.[emoji123] https://t.co/0azbrlqmE2
Mpaka aibu ukiisikiliza video hii mwishoni jamaa anasema elfu mbili na kumi na....... Inakatiwa hapo ,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chadema tabu yote hii ni yanini? Mtachanika msambaaaa jaribuni kuwa mna edit vizuri kwa makini.
 
Huyo Msambatavangu aendelee na biashara nyingine tu...

Hurumaa..
 
Mafuriko sio ishu sana mkuu....
Siku CCM ikishindwa sio kwamba ni kwa kura, bali System itakuwa imeichoka, au aliyeko madarakani hapatani na CDF
CDF huwa anazungukwa tu mazee. Wachini yake wanasimamia ulinzi.
 
sasa hao ni wapiga kura au wasikilizaji tu?

Utafiti unaonyesha, asilimia 95 ya wahudhuriaji wa mikutano ya Lisuu watampigia kura, kwa upande wa pili asilimia 55 ndio watakaompigia kura, 45 iliyobaki watapigia upinzani
 
Mnaposifia Mafuriko pia mkumbuke kuwa kama si ule msimamo wa Magufuli kuhusu corona basi sidhani kama sasa tungekuwa tunashindanisha mafuriko,Magufuli alisemwa sana kuhusu msimamo wake na kuonekana ameacha kufuata njia za kisayansi kukabiliana na corona na matokeo yake anafuata imani. Ila sasa wote tunafaidi matunda ya msimamo wake ila sivyo tungekuwa tunalia kama wenzetu wakenya.

Huwa unakuta mtu anawasema wasanii kuwa wanatumika tu ccm wakati huu wakati mtu huyo huyo ndio aliyekuwa anataka tujifungie ndani shughuli zisimame sasa sijui hata huyo angetumika wapi ili ajipatie riziki?
 
Mafuriko sio ishu sana mkuu....
Siku CCM ikishindwa sio kwamba ni kwa kura, bali System itakuwa imeichoka, au aliyeko madarakani hapatani na CDF
Naona jinsi siku zinavyokwenda Lissu na CHADEMA ndivyo wanavyozidi kung'aa, hongereni sana Wanyankolo mmeonesha njia.
 
[emoji125][emoji125][emoji125]
IMG_20200913_190612.jpg
 
Lowassa ali
Ametisha kushinda mafuriko ya lowassa?.
Lowassa kulikua na Uhuru wa vyama kushirikiana siasa hivyo watu walijitokeza kwa wingi bila hofu.Halafu Lowassa alipata msaada wa UKAWA,yaani alikuja na watu wa CCM,CUF,Chadema na NLD umeelewa wewe kiazi.?
 
Lissu akishinda, hao wabunge wote anaweza wafutilia mbali. Rais anaweza wa kuvunja Bunge, uchaguzi ukaitishwa upya
CCM bado hawajatambua hili pia ikiwa CHADEMA ikashinda urais hali ya Bunge kufuatana na Nguvu ya Rais ikiwa Tundu Lissu akashinda 2020

CCM yanyakua viti 64 maalum,Chadema 36
7 Novemba 2015
Rais John Pombe Magufuli na aliyekuwa mgombea wa urais kupitia tiketi ya Chadema Edward Lowassa

Maelezo ya picha,
Rais John Pombe Magufuli na aliyekuwa mgombea wa urais kupitia tiketi ya Chadema Edward Lowassa
Chama cha CCM kimenyakua idadi kubwa ya viti vya wabunge maalum miongoni mwa vyama vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu uliopita.
CCM kimejipatia viti 64, huku CHADEMA kijipatia viti 36 kulingana na tume ya uchaguzi nchini humo.
Chama cha Upinzani CUF nacho kimejipatia viti 10.
Akizungumza na waandishi wa habari,jaji Damian Lubuva aidha amesema kuwa idadi ya viti maalum vya wabunge wanawake imepanda hadi kufikia 40.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Tanzania Damian Lubuva

Maelezo ya picha,
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Tanzania Damian Lubuva
Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo ,idadi hiyo imetolewa kwa vyama hivyo baada ya kukidhi vigezo vya katiba na sheria ya kupata asilimia tano ya kura zote halali za ubunge.
Amesema kutokana na uchaguzi huo CCM ilipata kura za ubunge milioni 8,333,953, huku CHADEMA ikipata kura 4,627,923 nayo CUF ikipata kura 1,257,051.
Jaji lubuva amesema kuwa kutokana na majimbo 8 ambayo hayakufanya uchaguzi ,mgawanyo wa viti maalum sasa ni 110 ambapo viti vitatu vilivyosalia vitagawanywa baada ya kufanyika kwa uchaguzi katika majimbo hayo.
 
13 September 2020
Iringa, Tanzania

Live : Kampeni ya Tundu Lissu urais 2020 toka MwembeTogwa mjini Iringa Tanzania

 
Nondo alizozipiga leo Lissu, Ndungai, Majaliwa, Mama Samia, Bashiru , Magufuli na Polepole wajipange kuzipanguwa mwaka mzima. Ukweli ni kuwa hiyo nafasi hawana kwa sababu mwisho ni October 28
 
Lissu hata akishinda haitasaidia, CCM karibu wabunge 50 wamepitishwa na NEC bila ridhaa ya wananchi hivyo hata kuwa na nguvu yoyote
Hao wabunge hakuna shida wacha wapite bila kupingwa tutadili nao lisu akiapishwa.kwani tshekedi wa Congo mbona anaongoza nchi freshi na hali hana wabunge?tulia mzee hao wasikupe presha
 
Back
Top Bottom